Ni naomba msaada wa tiba ya macho

McEM

Member
May 7, 2011
64
3
Mke wangu anasumbuliwa na macho kwa kipindi kirefu sasa. Huwa anadai yana kama vikokoto na huwa yana muwasha na kupelekea macho kuvimba, nime mpeleka hospital alipata dawa yalitulia kwa muda tu.

Kila aina ya dawa tume tumia ni zina tuliza tu.
 
Umempeleka hospital gani? Kama unaishi Dar mpeleke ccbrt au international eye hospital
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom