Ni nani yuko nyuma ya BBC Swahili?

Ninyi ni wakereketwa wa ccm ndio maana mnapayuka hapa,sasa ipo hivi BBC huwa haitangazi mazuli ya afrika hata cku moja Sio tanzania afrika nzimaaa bb c huwa haitabgazi mazuli yake na kazi kutangaza migogoro ya kisiasa nk, na kuna baadhi ya nchi hapa afrika wameofungia BBC isitangaze habari zozote baada ya kuona ya kwamba haijengi Bali inabomoa bomoa tu,
 
I hate bbc Swahili and all motherfucker presenter
 
Chochote ukifanya ndani ya profession lazima kiathiri mwenendo wa maslahi ya kisiasa;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…