Usemaji wa cdm inategemea na ujiko ambao hilo jambo husika linabeba mbele ya jamii! jambo likiwa linabeba misifa mingi mbele ya jamii mama wa vifaranga mwenyewe Mbowe anakuwa msemaji, likiwa saizi inayofuatia( halina ujiko saaana) basi watoto wake ndo huwa wasemaji yaani Slaa, Lissu au Mnyika respectively kutokana na ukubwa wa sifa wa hilo jambo. Mambo yasiyo na mashiko ndo bwana mdogo Makene huwa msemaji. Mambo ya kipuuzi na fitna kwenye jf tu ndio hawa akina Yericko na Ben wamejipa vyeo vya usemaji, na hawa wawili hata vyeo vya vifaranga hawana, labda ni vifaranga wa kunguru.
Labda Yericko, ninavyojua Saa Nane anaitaka nafasi ya Heche au ya juu zaidi ya hiyo. Utaja niambia siku chache zijazo.
Usemaji wa cdm inategemea na ujiko ambao hilo jambo husika linabeba mbele ya jamii! jambo likiwa linabeba misifa mingi mbele ya jamii mama wa vifaranga mwenyewe Mbowe anakuwa msemaji, likiwa saizi inayofuatia( halina ujiko saaana) basi watoto wake ndo huwa wasemaji yaani Slaa, Lissu au Mnyika respectively kutokana na ukubwa wa sifa wa hilo jambo. Mambo yasiyo na mashiko ndo bwana mdogo Makene huwa msemaji. Mambo ya kipuuzi na fitna kwenye jf tu ndio hawa akina Yericko na Ben wamejipa vyeo vya usemaji, na hawa wawili hata vyeo vya vifaranga hawana, labda ni vifaranga wa kunguru.
Mkiguswa tu mnalialia JF inadhalilishwa, jibu ni nani msemaji wa JF? Au ni wewe? Kwa taarifa yako JF huwa haidhalilishwi wanaodhalilika ni watoa hoja bogus. Kwa taarifa yako tena, JF ni li dude - yaani limtandao la kijamii ambalo halisikii kudhalilishwa kamwe, lipo lipo tu we njoo andika mambo yako utaliacha linasonga mbele kuaccomodate watu wote, mbumbumbu na wajanja km mimi labda na wewe Molemo!
JF bhana!!! Noma kweli kweli
unaongelea chadema ipi? kama ni ile ya kina hayatula mtei aka wahafidhina wasemaji ni yericho na ben wa saa8. kama ni ile ya kina kilita/zitto/mwigamba aka demokrasia wasemaji wake ni akina albert msandoKwa heshima na taadhima nataka kujuzwa nani ni msemaji wa CHADEMA.
Naomba kuwasilisha
mkuu kwenye red hapo umeniacha sina mbavu. du! kwei JF haiishiwi vituko.Usemaji wa cdm inategemea na ujiko ambao hilo jambo husika linabeba mbele ya jamii! jambo likiwa linabeba misifa mingi mbele ya jamii mama wa vifaranga mwenyewe Mbowe anakuwa msemaji, likiwa saizi inayofuatia( halina ujiko saaana) basi watoto wake ndo huwa wasemaji yaani Slaa, Lissu au Mnyika respectively kutokana na ukubwa wa sifa wa hilo jambo. Mambo yasiyo na mashiko ndo bwana mdogo Makene huwa msemaji. Mambo ya kipuuzi na fitna kwenye jf tu ndio hawa akina Yericko na Ben wamejipa vyeo vya usemaji, na hawa wawili hata vyeo vya vifaranga hawana, labda ni vifaranga wa kunguru.
usikubali kuwa msukule kwenye maisha yako. hiyo ni sawa na kumkashifu Mungu kwa vipawa alivyokupa vya kufikiria na kuamua/kutenda,sisi wananchi wa kawaida hatuna shida ya kujua msemaji wa cdm ni nani! tunakiona kama mkombozi wa watanzania. Hata kama msemaji angekuwa blind, ukombozi CDM tu!
Kumbe wewe ni wananchi? au ndo yale yale umejivika cheo cha kuwa msemaji wa wananchi!sisi wananchi wa kawaida hatuna shida ya kujua msemaji wa cdm ni nani! tunakiona kama mkombozi wa watanzania. Hata kama msemaji angekuwa blind, ukombozi CDM tu!
niKwa heshima na taadhima nataka kujuzwa nani ni msemaji wa CHADEMA.
Naomba kuwasilisha
ni CDM tu, mbona huulizii wasemaji wa CHAUSITA, PPT -Maendeleo, CHUDEWAMA, NDPR -MAREJESO na hiki kipya mlichokifungua juzi??Kwa heshima na taadhima nataka kujuzwa nani ni msemaji wa CHADEMA.
Naomba kuwasilisha
Obsession....!