Jk hana ubavu wa kumzima huyu mzee..hili ni jabali kweli kweli....
Ni kweli mzee Sizogwa kanyamazishwa. Taarifa za uhakika ni kuwa walinyamazishwa yeye, Masoud Masoud
na Ahamed Kipozi kwa kuwa walikuwa wakimpinga JK waziwazi wakati ule wa mchakato wa kutafuta kuwania
urais mwaka 2005, wao walikuwakatika kambi ya Sumaye.
Lakini miaka ya hivi karibuni JK alishauriwa kuwaleta karibu wabaya wake ili kuimarisha nguvu baada ya
wanamtandao kugawanyika. Hivyo alimchukua Kipozi na kumweka pale Ikulu ingawa baadaye walishindwa
kuelewana kutokana na majungu yaliyojaa pale ikulu. Pia JK alifanya juhudi za kumpata mzee Sozigwa ili
amtumie pale ikulu kwa kumtumia binti yake (jina nalihifadhi), kwa kuwa mzee huyu hana simu.
Lakini ilionekana kushindikana kwa kuwa mzee huyu ana misimamo yake fulanifulani ingawa kimaisha kachoka
(kafulia).
Hizi ni taarifa za uhakika.
He has his place in history-MZARAMO wa kwanza kupata degree

Anakukera kwasababu anawakosoa magamba ANGUKO LENU NYIE MAJAMBAZI CCM LIMETIMIAI personally HATE Sozigwa Paul - Zile propaganda zake za miaka ya SABINI via RTD zilikuwa zinanikera sana!
Hakuna chochote cha uhakika katika yale uliyoyatamka. Sozigwa alishazeeka siku nyingi na hana tija yoyote inayoweza kuhitajika na uongozi makini. Muache kuzua hoja ambayo misingi yake ni chuki kwa establishment na siyo ubora wa utendaji wa spent force kama hii!
I personally HATE Sozigwa Paul - Zile propaganda zake za miaka ya SABINI via RTD zilikuwa zinanikera sana!
Propoganda zipi Mkuu, maana kile alichokuwa anachokiongelea wakati ule kilikuwa ni kupinga na kuepusha vitendo vinavyoendelea sasa hivi vya ufisadi, kumnyonya na kumnyayasa Mtanzania.I personally HATE Sozigwa Paul - Zile propaganda zake za miaka ya SABINI via RTD zilikuwa zinanikera sana!
Leo katika mapitio ya magazeti redioni nimesikia headline ya mzee huyu kunyamazishwa kwa kumkosoa JK bahati mbaya mtangazaji kasoma juu juu....kuna ukwelim katika hili? Je alisema nini kuhusu huo ukosoaji?