Yesu hana shida sana ngoma iko kwa Roho Mtakatifu ambaye Yesu mwenyewe anasema ukimkufuru huyo no way out. Sema habari za Yesu pia ni ngumu kwani hata yeye mwenyewe ni Roho Mtakatifu alikuwa ndani yake kwa hiyo kwa kumkashifu Yesu unaweza kuwa tayari umesha mkufuru Roho Mtakatifu