Ni Nani Huyu Apostle Mtalemwa Bushiri?

Ni Nani Huyu Apostle Mtalemwa Bushiri?

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
62,891
Reaction score
95,214
Umofia Kwenu wana JF,

Naangalia Live Star Tv namuona huyu Mtumishi mwenye Kibwagizo cha Profesaaaa,Naona ni mtabiri mzuri,Wadau ebu mwenye info zake zaidi maana naona mapicha picha tu sina uhakika wale wanaukuja kutoa ushuhuda ni set au ni kweli wanayoyaongea,nimeona watu naowafahamu wengi wameudhuria.

Kuna Jamaa anampa motisha kila mda anatamka Professaaaaaaa.
NoMoreDelay.jpg

NoMoreDelay1.jpg
 
Huyu Jamaa namuona kama yupo tofauti na kina Lusekelo,Mwingira and the like,Huyu yeye ni kama mtu mwenye maono juu ya waamini walioudhuria pale,anaweza akatamka kuna mtu anaitwa rechael ana kisukari naomba aje mbele,kisha akaanza kumtajia hadi tarehe yake ya kuzaliwa na vitu vinavyofanana na hivyo,worry yangu ni kweli ni maono au ni settings?
 
Roho yangu kuona Watu wakichezea Dini

Bora mim ninae chezea Uchi wa mwanamke Mungu anaweza Nifikilia

Waiter Zungusha tena[emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482]
wewe kaa hivyo hivyo ukiwa hukumu watumishi wa Mungu huku wewe ukichezea Tupu za wanawake.

Alafu Mwisho wa siku Unaliwa pilau unakwenda kubanikwa kuzimu.

Alafu unakuta watumishi wa Mungu walio kuwa wanakuhubiria habari njema za Mungu Uliwakataa na kuwaita majina ya makufuru kumbe walikuwa wanakuhubiria njia ya kweli ila uliikataa.

Ndiyo itakuwa kilio cha kusaga meno ndugu yangu.
 
Acha kuchezea Dini Ndugu Yangu

Ni kheli Ufanye kitu Kwa wazi watu wakujua

Kuliko unafki unaofanywa na watu Baadhi ndugu yangu
 
Huyu Jamaa namuona kama yupo tofauti na kina Lusekelo,Mwingira and the like,Huyu yeye ni kama mtu mwenye maono juu ya waamini walioudhuria pale,anaweza akatamka kuna mtu anaitwa rechael ana kisukari naomba aje mbele,kisha akaanza kumtajia hadi tarehe yake ya kuzaliwa na vitu vinavyofanana na hivyo,worry yangu ni kweli ni maono au ni settings?
mimi namuona kama mpiga lamri, mwana mazingaombwe.

kwa nini haubiri watu kuacha dhambi??, au au wokovu ila kutabiri oooh unaitwa fulani umetoka mbeya, so what
 
Ndio mana nasema watu wanachezea Dini Za watu na ni vibaya

Iv kuna watu wangap mpaka Leo walikuwa wakijiita manabii Leo wako wap hawa watu

Siku iz waganga wanavaa suti
 
Zama hizi udanganyifu ni mwingi mno ...karibu Emaus centre karibu na ubungo bus terminal ili ufundishwe ukweli usiopindishwa hata nukta. Swali lolote linalokutatiza litajibiwa hadi roho yako iridhike. Karibu ktk kituo cha maombezi cha Kanisa Katoliki ili uache kutangatanga na makanisa usimame na Kristo mfufuka na kuijua kweli ambayo ndio KWELI.
 
King Kong III

Waswahili wanamsemo,jambo usilolijua kama usiku wa Giza.

Inawezakana humjui kweli au unamjua unataka kuleta ladha tofauti tu....kama ni Option ya pili/unamjua basi tuyaache...ila kama ni option 1/humjui basi tambua yuko kazini kama ajira.

Hint tu,jina Bushir ni la Mtaalamu yeye anasubiri Muta anasubiri kutoka South Africa (anaitwa Prof.Bushiri)....Muta kwake kama kioo ktk kila kitu,na ktk kujitangaza nadhani ipo mialiko Prof.Bushir alikua ktk Brochure sasa sijui kama aliwahi kuja.....
Hence,kwa wanaojua style ya Prof.Bushir ndiyo ya Muta...

Ni style mpya ila ina nyuma ya Pazia...Mungu ndiye mjuzi.

Nashauri utoshoke na haya tu..zaidi visit maeneo ya Makongo /Temboni kwa Physical details zake.

Kinachoniuma,ubunifu kulazimishwa kua reality.

The Profeseee semaaa....The Professeee semaaaa.

Mara nyingi unachokiona kina Meeting ya awali.
Naomba niishie hapa Muumba ndiye Mjuzi zaidi.
 
Back
Top Bottom