ruhi JF-Expert Member Feb 26, 2012 3,740 5,428 Nov 24, 2016 #1 Ni nani kati ya MESSI na CR7 atakua wa kwanza kufikisha magoli 100 UEFA Champion league? je kwa mwinendo huu atakua Messi au CR7? Je wewe unaonaje? Karibuni sana. IDADI YA MAGOLI ADI LEO 24/11/2016. MESSI (95), CR7 (98)
Ni nani kati ya MESSI na CR7 atakua wa kwanza kufikisha magoli 100 UEFA Champion league? je kwa mwinendo huu atakua Messi au CR7? Je wewe unaonaje? Karibuni sana. IDADI YA MAGOLI ADI LEO 24/11/2016. MESSI (95), CR7 (98)
Abuu Kauthar JF-Expert Member Jul 10, 2011 3,950 5,692 Nov 24, 2016 #2 ruhi said: Ni nani kati ya MESSI na CR7 atakua wa kwanza kufikisha magoli 100 UEFA Champion league? je kwa mwinendo huu atakua Messi au CR7? Je wewe unaonaje? Karibuni sana. IDADI YA MAGOLI ADI LEO 24/11/2016. MESSI (92), CR7 (95) Click to expand... Ronaldo ni 98 na si 95
ruhi said: Ni nani kati ya MESSI na CR7 atakua wa kwanza kufikisha magoli 100 UEFA Champion league? je kwa mwinendo huu atakua Messi au CR7? Je wewe unaonaje? Karibuni sana. IDADI YA MAGOLI ADI LEO 24/11/2016. MESSI (92), CR7 (95) Click to expand... Ronaldo ni 98 na si 95
ruhi JF-Expert Member Feb 26, 2012 3,740 5,428 Nov 24, 2016 Thread starter #3 Saju b said: Ronaldo ni 98 na si 95 Click to expand... Typing error mkuu
PNC JF-Expert Member Feb 3, 2015 8,107 14,352 Nov 24, 2016 #4 Kijitihada za mtu binafsi MESSI atakuwa wa kwanza kufikisha ila KIPENAT NA KIMBELEKO ZA REFA BASI MMOROKO ATAKUWA WA KWANZA KUFIKIA IDADI HYO
Kijitihada za mtu binafsi MESSI atakuwa wa kwanza kufikisha ila KIPENAT NA KIMBELEKO ZA REFA BASI MMOROKO ATAKUWA WA KWANZA KUFIKIA IDADI HYO
Prince Kunta JF-Expert Member Mar 27, 2014 22,785 28,806 Nov 24, 2016 #6 Messi ndo atakuwa wa kwanza kabisa
K kasamba12 JF-Expert Member Aug 18, 2016 343 254 Nov 24, 2016 #8 ruhi said: Ni nani kati ya MESSI na CR7 atakua wa kwanza kufikisha magoli 100 UEFA Champion league? je kwa mwinendo huu atakua Messi au CR7? Je wewe unaonaje? Karibuni sana. IDADI YA MAGOLI ADI LEO 24/11/2016. MESSI (95), CR7 (98) Click to expand... Vip mkuu kuna mpunga kama ukipatia Jibu?
ruhi said: Ni nani kati ya MESSI na CR7 atakua wa kwanza kufikisha magoli 100 UEFA Champion league? je kwa mwinendo huu atakua Messi au CR7? Je wewe unaonaje? Karibuni sana. IDADI YA MAGOLI ADI LEO 24/11/2016. MESSI (95), CR7 (98) Click to expand... Vip mkuu kuna mpunga kama ukipatia Jibu?