Ni nani atakuwa wa kwanza kufikia idadi ya magoli 100 UEFA Champ kati ya Messi na C. Ronaldo

ruhi

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
3,697
5,313
Ni nani kati ya MESSI na CR7 atakua wa kwanza kufikisha magoli 100 UEFA Champion league? je kwa mwinendo huu atakua Messi au CR7? Je wewe unaonaje?

Karibuni sana.

IDADI YA MAGOLI ADI LEO 24/11/2016. MESSI (95), CR7 (98)
 
IDADI YA MAGOLI ADI LEO 24/11/2016. MESSI (92), CR7 (95)

Ronaldo ni 98 na si 95
 
Kijitihada za mtu binafsi MESSI atakuwa wa kwanza kufikisha ila KIPENAT NA KIMBELEKO ZA REFA BASI MMOROKO ATAKUWA WA KWANZA KUFIKIA IDADI HYO
 
Ni nani kati ya MESSI na CR7 atakua wa kwanza kufikisha magoli 100 UEFA Champion league? je kwa mwinendo huu atakua Messi au CR7? Je wewe unaonaje?

Karibuni sana.

IDADI YA MAGOLI ADI LEO 24/11/2016. MESSI (95), CR7 (98)
Vip mkuu kuna mpunga kama ukipatia Jibu?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom