Ni nani kati ya MESSI na CR7 atakua wa kwanza kufikisha magoli 100 UEFA Champion league? je kwa mwinendo huu atakua Messi au CR7? Je wewe unaonaje?
Karibuni sana.
IDADI YA MAGOLI ADI LEO 24/11/2016. MESSI (92), CR7 (95)
Vip mkuu kuna mpunga kama ukipatia Jibu?Ni nani kati ya MESSI na CR7 atakua wa kwanza kufikisha magoli 100 UEFA Champion league? je kwa mwinendo huu atakua Messi au CR7? Je wewe unaonaje?
Karibuni sana.
IDADI YA MAGOLI ADI LEO 24/11/2016. MESSI (95), CR7 (98)