Ni nani anakumbuka Mashirika haya?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Nimepita samora leo nikawana naangalia majengo nikawa na hasira na utawala mbovu!Nikaona maandishi yameandikwa MAKAOMAKUU YA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA,Nikakumnbuka mashirika yaliyotia fola enzi hizo ukisikia mtu anafanya mashirika haya unakaa naye mbali
  • BIMA
  • TANESCO
  • NMC
  • RELI
  • BANDARI
  • NASACO
  • RTC
  • POSTA NA SIMU
  • SUDECO
  • NBC
  • TTC
  • BUSHTRAKER
  • Tangayika Pekers
  • TAFICCO
  • NACO
  • NARCO
  • BBH
  • SUNGURATEX
  • BOT
  • REVENUE AUTHORITY
Namengineyo ongezea hapa leo tumebeki na Tanesco nayenyewe inachechemea!!Hakuna kiwanda hata kimoja!!Hapana tunayo haki kubadrisha utawala!!Leo elfu kumi uwezi kununua kilo mbili za nyama ya steki!
 
Nimepita samora leo nikawana naangalia majengo nikawa na hasira na utawala mbovu!Nikaona maandishi yameandikwa MAKAOMAKUU YA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA,Nikakumnbuka mashirika yaliyotia fola enzi hizo ukisikia mtu anafanya mashirika haya unakaa naye mbali

  • BIMA
  • TANESCO
  • NMC
  • RELI
  • BANDARI
  • NASACO
  • RTC
  • POSTA NA SIMU
  • SUDECO
  • NBC
  • TTC
  • BUSHTRAKER
  • Tangayika Pekers
Namengineyo ongezea hapa leo tumebeki na Tanesco nayenyewe inachechemea!!Hakuna kiwanda hata kimoja!!Hapana tunayo haki kubadrisha utawala!!Leo elfu kumi uwezi kununua kilo mbili za nyama ya steki!

SUKITA
Duu umenikumbusha mbali longtime nikiwa bushi shule ya msingi karibu 90% ya wanafunzi tulikuwa hatuvai viatu ila jamaa mmoja alikuwa anavaa raba aina ya DH sababu kubwa ni kwamba mjombaake alikuwa mambo safi alimnunulia alikuwa anafanya kazi SUKITA.
 
Nimepita samora leo nikawana naangalia majengo nikawa na hasira na utawala mbovu!Nikaona maandishi yameandikwa MAKAOMAKUU YA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA,Nikakumnbuka mashirika yaliyotia fola enzi hizo ukisikia mtu anafanya mashirika haya unakaa naye mbali

Ndiyo maana YALIKUFA! Hapo penye red/bold/underlined - Watu waliiba mpaka Ofisi Furniture!
 
Nimepita samora leo nikawana naangalia majengo nikawa na hasira na utawala mbovu!Nikaona maandishi yameandikwa MAKAOMAKUU YA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA,Nikakumnbuka mashirika yaliyotia fola enzi hizo ukisikia mtu anafanya mashirika haya unakaa naye mbali
  • BIMA
  • TANESCO
  • NMC
  • RELI
  • BANDARI
  • NASACO
  • RTC
  • POSTA NA SIMU
  • SUDECO
  • NBC
  • TTC
  • BUSHTRAKER
  • Tangayika Pekers
Namengineyo ongezea hapa leo tumebeki na Tanesco nayenyewe inachechemea!!Hakuna kiwanda hata kimoja!!Hapana tunayo haki kubadrisha utawala!!Leo elfu kumi uwezi kununua kilo mbili za nyama ya steki!

Hukuwahi kuwasikia GAPEX?
Hawa walikuwa wanahusika na export ya agricultural products.
Kuna mzee alikuwa anaitwa Nyakyoma, alimung'unya hela mpaka Shirika likafa jumla.
 
Nimepita samora leo nikawana naangalia majengo nikawa na hasira na utawala mbovu!Nikaona maandishi yameandikwa MAKAOMAKUU YA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA,Nikakumnbuka mashirika yaliyotia fola enzi hizo ukisikia mtu anafanya mashirika haya unakaa naye mbali
  • BIMA
  • TANESCO
  • NMC
  • RELI
  • BANDARI
  • NASACO
  • RTC
  • POSTA NA SIMU
  • SUDECO
  • NBC
  • TTC
  • BUSHTRAKER
  • Tangayika Pekers
Namengineyo ongezea hapa leo tumebeki na Tanesco nayenyewe inachechemea!!Hakuna kiwanda hata kimoja!!Hapana tunayo haki kubadrisha utawala!!Leo elfu kumi uwezi kununua kilo mbili za nyama ya steki!

TAKOSHIRi
STAMICO
UFI
CO-CABS
KAMATA
UDA
NATIONAL PANASONIC
.............etc
 
TPDC
TIPPER

Du hizo zilikuwa enzi ambapo, nchi ilikuwa na maana ya nchi hai...... (****** na kujitegemea)
Nmeogopa kulitaja hilo jingine nmeogopa kupigwa mawe.
Ila kutelekeza hayo, ndio siri ya kukwama kwetu.... tumekuwa "Taifa la Wachuuzi"
 
Kwa machungu tuliyo nayo unaweza kunyonga mtu aliyehusika kuua haya mashirika hadharani ili japo machungu yatulie!
 
Watu walibinafsisha kiwanda cha beef wakafanya godauni nasasa makanisa!!Zaidi yatanzania niliyoijua!!Mimi nikitawala ninawaweka kizuizini wotewale waliohusika na uhujumu uchumi!
 
Back
Top Bottom