Ni nani aliyekuwa anapigwa mkwara huu na Makonda?

Alipigwa mkwara Naibu Waziri wa TAMISEMI, bwana Waitara.

Alipopewa unaibu Waziri alijinasibu na kusema Daudi awe na nidhamu kwa mawaziri yeye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar tu ilhali mawaziri ni wa nchi nzima.

Ndipo alijibiwa na sasa ni kweli ana nidhamu.
 
Back
Top Bottom