Naongea na wanaume wenzangu wale walio owa wanawake wenye makalio madogo halafu wakiona wa wenzao wenye makalio makubwa wanaanza kupiga mikelele.
Utakuta uko na mkeo matembezini uku kafungashia kidogo basi mijanaume isiyokuwa na akili inaanza kupiga mayowe oh wakubwa wanafaidi ohh marshallah.
Kwanini na wewe usioe au kutafuta mwanamke mwenye makalio na ukaacha kutamani vya wenzao. Kwanza unamkosea adabu mwanaume mwenzio kupiga miyowe utadhani umeona utupu wa mzazi wako.
Acheni ujinga tuacheni tuenjoy na wake zetu maana hatukuwatuma kuoa flat screen.
hiyo tabia mbaya kabisa na inakera.....ila nao wenye makalio makubwa wavae nguo zenye staha sio kuringishia nyama ya nyuma waliyopewa bure ingawa wengine wamenunua.
kuna kipindi hivo viflat skrini vilipewaga sifa za kijinga eti mamiss, vipotabo au inglishi figa vilikuwa vinajidai sana. lkn sasa ivi yupa kulee. injoi na wife material wako mzee ila na mimi nikimuona lazima nimpigie mikelele maana ndo ugonjwa huo