Ni nani aliua Azimio la Arusha?

mtzmweusi

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
8,640
8,966
Wakuu habari za weekend hapo awali nilikuwa nasikia tu azimio la Arusha kwa juu juu tu sasa nimefanikiwa kulisoma aisee lilijaa uzalendo na mapenzi mema kwa nchi yetu swali langu ni nani aliliua? Naambatanisha na page mojawapo ya azimio hilo
1460177667450.jpg
 
Azimio la arusha lilijiua lenyewe kwa sababu
(1)Lilishindwa kwenda na wakati
(2) Lilikuwa na mambo mengine ya kikuda
(3) Lilikuwa linajicontradict katika baadhi ya mambo
(4) Umma ulilazimishwa kulifuata, watu hawakupiga kura ya maoni kufuata mfumo ule, ilikuwa ni top down approach na siyo bottom up
 
...jk mzee wa kuchomoa. si unaona riz moko anavyohenya kukwepa mkono wa sharia, ipo siku ataingia kingi tu we subiri, walidhani watakwepa sharia milele...
 
Back
Top Bottom