Siyo mwaka wa viroja. Haya ni matokeo ya kuruhusu wapumbavu kupata nafasi za juu katika uongozi wa jamii.
Hata kama mh. Magufuli (mgombea urais kupitia CCM) alipiga push up siku moja, haimaanishi wengine woote waige na kufanya hivyo kama nyumbu wa serengeti wakiwa kwenye migration!
Tunahitaji viongozi wanaoweza kutambua mambo ya msingi yanayofaa kuigwa!