Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,155
- 30,829
Nawatakia utulivu wa moyo na kifikra watia nia wote wa nafasi za ubunge na udiiwani kupitia CCM katika kipindi hiki cha joto la mjujo mchujo wa uteuzi kuelekea uchaguzi mkuu.
Binafsi nimechukua na kurejesha fomu za uteuzi nafasi ya ubunge nikiwa na matumaini makubwa mno, kwa haki kutendeka kwa kila mtia nia kupitia vikao makini sana vya mchujo na uteuzi ndani ya CCM 🐒
Mungu Ibariki Tanzania