Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,531
- 8,699
Wakiamua wanawezaChini ya usimamizi wa watu gani huko serikalini?
DuuuhUkiangalia gharama za kutengeneza small satellite launch pad ina range kwa usd million 5 au 10 sawa na tsh billion 10 au 20
Kwa tsh billion 10 au 20 tunajenga multi pad satellite launch
Faida za small satellite launch pad ni kama zifuatazo
- Itatumika kwenye scientific study kama weather forecast
- Itatumiwa na makampuni kurusha satellite kwenye space na kuingizia nchi mapato
- Itatumika kwenye environment monitoring na kuondoa utegemezi wa nchi nyingine kwenye environment monitoring
- Itakuza field ya space exploration afrika kwa sababu kwa sasahivi iko dominated na nchi zilizoendela
- Itakuza viwanda vya kuzalisha satellite Tanzania
Tanzania tunaweza kabisa kujenga small satellite launch pad
Kwa dunia ya sasa ni muhimu kuwa na satellite launch padSwali ni inanufaishaje walinda mageti (gatekeepers) hamna kitu inapitishwa kama vibopa hawapati pasenti %
hakuna mwenye hayo mawazo kwenye hiyo serikaliWakiamua wanaweza
Ndo tunawaambia wanawezahakuna mwenye hayo mawazo kwenye hiyo serikali
Surely it's possible,Ukiangalia gharama za kutengeneza small satellite launch pad ina range kwa usd million 5 au 10 sawa na tsh billion 10 au 20
Kwa tsh billion 10 au 20 tunajenga multi pad satellite launch
Faida za small satellite launch pad ni kama zifuatazo
- Itatumika kwenye scientific study kama weather forecast
- Itatumiwa na makampuni kurusha satellite kwenye space na kuingizia nchi mapato
- Itatumika kwenye environment monitoring na kuondoa utegemezi wa nchi nyingine kwenye environment monitoring
- Itakuza field ya space exploration afrika kwa sababu kwa sasahivi iko dominated na nchi zilizoendela
- Itakuza viwanda vya kuzalisha satellite Tanzania
- Hii itafungua milango ya kujenga complex rocket launch pad
Tanzania tunaweza kabisa kujenga small satellite launch pad
Uko sahihi, zingatia mazingira na mifumo huwezi Jenga ghorofa kwenye msingi wa plastiki.. foundation matters.Kwa dunia ya sasa ni muhimu kuwa na satellite launch pad
Kama wengine hawana aina maana Tanzania wasijengeNchi gani apa afrika hasa uku subsahara wanamiliki mfumo huo,je warushaji wakuu usa,china,urusi,uropa tutaweza kukalibia soko lao?
Mkuu hivi kulaunch rocket zinazobeba satelite haitegemti geolocation?Ukiangalia gharama za kutengeneza small satellite launch pad ina range kwa usd million 5 au 10 sawa na tsh billion 10 au 20
Kwa tsh billion 10 au 20 tunajenga multi pad satellite launch
Faida za small satellite launch pad ni kama zifuatazo
- Itatumika kwenye scientific study kama weather forecast
- Itatumiwa na makampuni kurusha satellite kwenye space na kuingizia nchi mapato
- Itatumika kwenye environment monitoring na kuondoa utegemezi wa nchi nyingine kwenye environment monitoring
- Itakuza field ya space exploration afrika kwa sababu kwa sasahivi iko dominated na nchi zilizoendela
- Itakuza viwanda vya kuzalisha satellite Tanzania
- Hii itafungua milango ya kujenga complex rocket launch pad
Tanzania tunaweza kabisa kujenga small satellite launch pad
Sisi tuko karibu na equator kwa hiyo tuna advatage kubwa sanaMkuu hivi kulaunch rocket zinazobeba satelite haitegemti geolocation?
Mambo yote yanafanyika sababu ukijenga satellite launch pad haina maana hakutakuwa na budget ya maji, hospitalNchi zote ambazo zinamiliki huo mfumo au kifaa kirushwacho wotee wapo na ukwasi mzitouchumi mkubwa kuliko wasiorusha wala wasio na mfumo pia wapo vizuri kijeshi na wengi wa wenye mfumo huo wapo kalibu na uundaji na urushaji wa makombora na hata tec ya ipo kijeshi zaidi (sub sahara ngoja kwanza tuwe na huakika wa maji ya kunywa na vyoo bora kwanza then pesa zikibaki tuanze kurusha machuma uko angani)
Kila jambo lina mwanzo wake hii dhana haiwezi endelea kuwepoBwana wee sisi uku blaki pipo twajijua bongo zetu maybe kama kuna watu watapata huakika wa 10% ya mradi kumbuka mradi wa bwawa la umeme uko rufiji tena faida zipo wazi ila nadhan hata ww shahidi kama unaona faida za bwawa ilo sembuse huo mfumo (kumbuka sipingi faida ila kwa sisi uku sub sahara bado huo mfumo )