Hapo ni kama unapendekeza kua na serikali za majimbo au federal government system, kama iliopo US Germany, China Nigeria SA nkHello wanajamii......
Kunususru janga la ajira kwa vijana...
Ni kuwa na vyuo kila mkoa/mji...
Vyuo hivi vijengwe kutoa elimu ambayo sio general, bali specific kutokana na rasilimali zilizopo/zinazopatikana kwa wingi kwa sehemu husika.....
Kwa mfano, labda Mwanza kunapatikana samaki,vyuo vya uvuvi na biashara ndio vijengwe huko,halikadhalika labda Tanga kunapatikana matunda, elimu juu ya kusindika matunda na kuuza kama biashara itolewe Tanga, n.k
Mimi nahisi pengine tukifanya hivi vijana wataona fursa zilizopo karibu/kwenye miji yao na kubaki huko,
Its high time serikali i tackle unemployment kwa kuangalia resources zilizopo kila mahali,na ku enable vijana ku exploit resources hizo....
KIngine nachoona kila mkoa ujisimamie kimapato na miradi yake, itastimulate creativity/innovation kwenye fursa na changamoto zinazokabili mkoa kama mkoa...
Nimeongea hivi sababu kuna sehemu kama huko Kondoa,Tabora na Kusini mwa Tanzania ni kama kumesahaulika...
Na wakati kuna Asali, Korosho n.k
Pia tunashuhudia ma Fly over, madaraja sijui kwa Mfugale hapa Dareslaam, hujawahi kusikia vitu hivi Mafly over huko mkoani...
With 65% of Tanzanians live in rural areas, its time Infrastructure iwe invested huko, na sio Dar es Salaam(msinipopoe ni ukweli)
Karibuni
siku zote watu huja mjini kula raha na sio vice verseWith 65% of Tanzanians live in rural areas, its time Infrastructure iwe invested huko, na sio Dar es Salaam(msinipopoe ni ukweli)
1. Kwa hiyo unapropose tuwe na serikali ya majimbo? Federal states na sio centralised gov't? Kuna mikoa itakuwa na maendeleo 200% na mingine 20%.
2. Vyuo, labda vocational training institutes. Vyuo vukuu havina tija kwa taifa. Graduates wengi wamejaza nadharia vichwani lakini practicals hakuna kitu.
Vocational training institutes ndio zina tija kwa taifa coz zinaandaa vijana kuingia mtaani na ku exploit opportunities, universities zinawaandaa vijana kutembeza bahasha. Wewe si umesema vijana wafundishwe kukamatia fursa, au nimeelewa vibayaNo 2, why do you think so?? embu expound please
Nimeuliza sentence yako ya pili,Luna sehemu zitakua na maendeleo zaidi ya nyingineVocational training institutes ndio zina tija kwa taifa coz zinaandaa vijana kuingia mtaani na ku exploit opportunities, universities zinawaandaa vijana kutembeza bahasha. Wewe si umesema vijana wafundishwe kukamatia fursa, au nimeelewa vibaya
Of course kuna sehemu zitakuwa na maendeleo zaidi kwa sababu ya resources zilizopo. Kuna mikoa ina limited resources, na wewe ume suggest tusiwe na centralised gov't, unataka majimbo ambayo kimsingi yanasimamia rasilimali zilizopo na kuwanufaisha watu wa eneo husika.Nimeuliza sentence yako ya pili,Luna sehemu zitakua na maendeleo zaidi ya nyingine