Ntarudi soonFaida ni nyingi kuliko hasara, kama wameweza kuhalalisha matumizi ya tumbaku ambayo ima madhara makubwa kiafya zaidi ya bangi.
Faida za mmea huu ni kama zifuatazo
1. Kuiingizia nchi na mkulima mapato
Kilimo cha bangi kinaweza kuingizia nchi mapato endapo itazalishwa kwa ubora na wingi, tunaweza ku export kwenye nchi ambazo uzalishaji wake unasua sua. Ubora wa bangi upo kwenye effects zake tunaweza kuwekeza kwenye research tujue ni namna gani na maeno gani yanafaa kwa bangi bora. Nchi inakosa mapato mengi kwasababu hata walivyoikataza zinalimwa ekari za kutosha bado
Tunaweza kufungua viwanda vya kukausha na ku pack bangi kama ilivyo vya sigara
2. Ni nzuri kwa matumizi ya kiafya
Bangi ina faida nyingi kiafya kuliko tumbaku/sigara. Banginhaina vichocheo vinavyosababisha kansa ya mapafu, na pia tafiti mbalimbali zinaonyesha matumizi ya bangi yanasaidia kuzuia kifafa, kutibu glaucoma, kuzuia kansa kusambaa mwilini, kupunguza msongo wq mawazo, kusaidia metabolism, hivyo kupunguza unene na magonjwa yanayoambatana na hayo n.k
3. Bangi inasaidia katika kuchochea ubunifu, inachochea brain to function extra
4. Starehe kwa mvutaji
Wenzetu wameanza, wanaona umuhimu wake tusiwe wa mwisho na kukosa fursa zitokanazo na zao hili.
Nawasilisha
Ina maana na mahakama na jeshi la polisi nao ni wapuuzi pia kwa kukataza na kukamata wanaotumia bangi??? Waliomkamata Wema Sepetu na Masogange na kuwakuta na hatia ya kutumia bangi???kuna mpuuzi mmoja kaanzisha Uzi kabisa kisa kamuona harmonize ana vuta bangi
Naunga mkono hoja
Mikono na miguu kwa pamojaNaunga mkono hoja
Wakulima wa bangi kamaa mko humu ujumbe huu uwafikie,acheni kilimo cha kizamani,badilikeni,tumieni mbegu bora na zinazostawi kwa muda mfupi kama wanazotumia wenzenu wa sauzi na kwengineko,mbona wakulima wa matikiti wamejirekebisha wanatumia mbegu bora na ya muda mfupi na faida tunaiona,na tabia yenu ya kuivuna kabla haijakomaa pia muache kama mnaharaka sana tumieni mbegu bora za miezi mitatu,watu wanapagawa sio sababu ya kuvuta bangi bali kwa sababu ya kuvuta bangi iliyochini ya kiwango.nawasilisha.
Mkuu kwa quality ya bangi tunayolima hivi sasa soko tunaloweza kupata labda ni kenya tu na ndio soko letu la muda mrefu,si wenyewe tunaimport highgrade kutoka malawi,south africa,lesotho na swaziland.Kabisa mkuu, ni muda muafaka wa kusaka soko la nje serikali iangalie hili
Mkuu kwa quality ya bangi tunayolima hivi sasa soko tunaloweza kupata labda ni kenya tu na ndio soko letu la muda mrefu,si wenyewe tunaimport highgrade kutoka malawi,south africa,lesotho na swaziland.
Itashuka na beiFaida ni nyingi kuliko hasara, kama wameweza kuhalalisha matumizi ya tumbaku ambayo ima madhara makubwa kiafya zaidi ya bangi.
Faida za mmea huu ni kama zifuatazo
1. Kuiingizia nchi na mkulima mapato
Kilimo cha bangi kinaweza kuingizia nchi mapato endapo itazalishwa kwa ubora na wingi, tunaweza ku export kwenye nchi ambazo uzalishaji wake unasua sua. Ubora wa bangi upo kwenye effects zake tunaweza kuwekeza kwenye research tujue ni namna gani na maeno gani yanafaa kwa bangi bora. Nchi inakosa mapato mengi kwasababu hata walivyoikataza zinalimwa ekari za kutosha bado
Tunaweza kufungua viwanda vya kukausha na ku pack bangi kama ilivyo vya sigara
2. Ni nzuri kwa matumizi ya kiafya
Bangi ina faida nyingi kiafya kuliko tumbaku/sigara. Banginhaina vichocheo vinavyosababisha kansa ya mapafu, na pia tafiti mbalimbali zinaonyesha matumizi ya bangi yanasaidia kuzuia kifafa, kutibu glaucoma, kuzuia kansa kusambaa mwilini, kupunguza msongo wq mawazo, kusaidia metabolism, hivyo kupunguza unene na magonjwa yanayoambatana na hayo n.k
3. Bangi inasaidia katika kuchochea ubunifu, inachochea brain to function extra
4. Starehe kwa mvutaji
Wenzetu wameanza, wanaona umuhimu wake tusiwe wa mwisho na kukosa fursa zitokanazo na zao hili.
Nawasilisha
Sasa mkuu hapa si ndio inabidi tuwekezebhata kwenye GMO, tupate mazao bora kabisa, house boy alienda kwao nikamuagiza hii kitu ya malawi kwa kweli ni grade nyingine huwezi kufananisha na cha dom au chuga, wenzetu walishajiongeza kitambo,
Last year nilishusha mimea minne home kwa kuchambua tuu zile mbegu zikaota basi nimeamua kuihamishia chumbani karibu na dirisha kabisa
Umewasahau wakulima wa mbaazi.Wakulima wa koroshow
Wakulima wa kahawa
Wote watahamia huko
Ova
Dah tena hao watalima kwa gazabu sanaUmewasahau wakulima wa mbaazi.
Ina maana na mahakama na jeshi la polisi nao ni wapuuzi pia kwa kukataza na kukamata wanaotumia bangi??? Waliomkamata Wema Sepetu na Masogange na kuwakuta na hatia ya kutumia bangi??? Bila shaka ndo wewe fala ulie anzisha ule Uzi Faken weye
Acha u amber-rutty wewe.