Ni muda gani mwanamke anaweza kupata ujauzito baada ya kujifungua?

al abry

Senior Member
Feb 5, 2017
161
102
Habari za muda huu wakuu?najitokeza kwa upande huu ikiwa ni mara yangu ya kwanza nauliza hivi..nikipindi gan hasa mama aliejifungua anaweza kushika ujauzito?

Nipo kwenye contradictinlon kubwa ndugu zanguni naombeni majibu urgent kama itawezekana.

Asanteni.
 
Mama hatapata mimba miezi sita ya mwanzoni endapo atamnyonyesha mtoto vizuri(kitaalamu tunasema wakt wa kunyonyesha hormone ya prolactin ndo inazalishwa na inainhibit progestérone na Oestrogène ambz humpa mwanamk hedhi so hatapata mimba akimnyonyesha vema ila akizembea anapata na pia baada ya miezi sita anaweza kupata so cheza n'a miez 6 ya mwanzoni)
 
Mama hatapata mimba miezi sita ya mwanzoni endapo atamnyonyesha mtoto vizuri(kitaalamu tunasema wakt wa kunyonyesha hormone ya prolactin ndo inazalishwa na inainhibit progestérone na Oestrogène ambz humpa mwanamk hedhi so hatapata mimba akimnyonyesha vema ila akizembea anapata na pia baada ya miezi sita anaweza kupata so cheza n'a miez 6 ya mwanzoni)
Ok asante sana mkuu,ila ni ndani ya miez sita ya mwanzo kama nimeelewa vizuri.sasa nipo direct je baada ya kumaliza siku 40 za uzazi na yale majimaji kuisha kabisa kuna uwezekano wa mimba kuingia katika masiku hayo.yaani hyo miez sita ya mwanzo inahesabika kuanzia siku ya ngapi?asante
 
Habari za muda huu wakuu?najitokeza kwa upande huu ikiwa ni mara yangu ya kwanza nauliza hivi..nikipindi gan hasa mama aliejifungua anaweza kushika ujauzito?nipo kwenye contradictinlon kubwa ndugu zanguni naombeni majibu urgent kama itawezekana.

Asanteni.

Kawaida ni baada ya siku 45 baada ya kujifungua ndio anaanza kuona siku zake upya, Kwahiyo hapo mimba inawezekana ikatungwa
 
Muda wowote tena ndio inaingia kiurahisi, kama umebarikiwa zaa tu. Yaani usijali wakitofautiana chini ya mwaka ni kawaida kutokea wanawake.

Kujipa furaha na kujituliza, google usome habari za wanawake waliopitia kama wewe.

Ila pia kuna wanawake wakizaa wanaweza wasipate period kwa muda fulani. Muhimu ni kapime kujua.

Najua ambao hawapati period hadi waache kunyonyesha watoto wao baada ya kujifungua.

Good luck
 
Oky ahsanten wote kwa kunielewesha vizuri naipenda hii platform shukran kwa founders.
 
Hapo kwenye hio miezi sita hakikisha kabisa kuwa kuwa unampa nyonyo mtoto wako.... Juwa inawezekana Mara nyingi kwa wale wasioenda mbali na kuwaacha watoto wao mfano kazini, nk.nk.
 
Back
Top Bottom