fimboyaasali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 8,606 Reaction score 8,270 Mar 25, 2024 #1 yanga imetangaza kuwa mechi ya mamelodi,imepewa muda dei:unaitika wote tupige simu tujae kwa mkapa
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 23,077 Reaction score 48,083 Mar 25, 2024 #2 Daah lile beki la kulia lingekua fiti ingekua balaa sana pana huyo winger yao ya kushoto inatembea balaa sana...
Daah lile beki la kulia lingekua fiti ingekua balaa sana pana huyo winger yao ya kushoto inatembea balaa sana...
H Humble be JF-Expert Member Joined Oct 18, 2015 Posts 3,612 Reaction score 6,470 Mar 25, 2024 #3 fimboyaasali said: yanga imetangaza kuwa mechi ya mamelodi,imepewa muda dei:unaitika wote tupige simu tujae kwa mkapa Click to expand... Muda dei au Mudau dei 😁
fimboyaasali said: yanga imetangaza kuwa mechi ya mamelodi,imepewa muda dei:unaitika wote tupige simu tujae kwa mkapa Click to expand... Muda dei au Mudau dei 😁
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,964 Reaction score 13,944 Mar 25, 2024 #4 Isanga family said: Daah lile beki la kulia lingekua fiti ingekua balaa sana pana huyo winger yao ya kushoto inatembea balaa sana... Click to expand... Aisee....
Isanga family said: Daah lile beki la kulia lingekua fiti ingekua balaa sana pana huyo winger yao ya kushoto inatembea balaa sana... Click to expand... Aisee....
DELETED ACCOUNT JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 9,805 Reaction score 15,476 Mar 25, 2024 #5 Masandawana wanasema kata simu kata simu, tupo site! Ogopa matapeli, tarehe 30/03 ni Mokoena Day
BRN JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 5,476 Reaction score 7,029 Mar 25, 2024 #6 fimboyaasali said: yanga imetangaza kuwa mechi ya mamelodi,imepewa muda dei:unaitika wote tupige simu tujae kwa mkapa Click to expand... Kweli wenye akili wawili tu..yaani hujui hata kuandika. yanga...Yanga. mamelodi....Mamelodi. muda....Muda. mkapa....Mkapa.
fimboyaasali said: yanga imetangaza kuwa mechi ya mamelodi,imepewa muda dei:unaitika wote tupige simu tujae kwa mkapa Click to expand... Kweli wenye akili wawili tu..yaani hujui hata kuandika. yanga...Yanga. mamelodi....Mamelodi. muda....Muda. mkapa....Mkapa.
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 16,042 Reaction score 40,568 Mar 25, 2024 #7 Wote kiasili ni mashabiki wa Yanga, ila kwa kukosa adabu au utukutu wamejikuta wanashangilia vitimu vingine vidogo vidogo
Wote kiasili ni mashabiki wa Yanga, ila kwa kukosa adabu au utukutu wamejikuta wanashangilia vitimu vingine vidogo vidogo
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 Mar 25, 2024 #8 fimboyaasali said: yanga imetangaza kuwa mechi ya mamelodi,imepewa muda dei:unaitika wote tupige simu tujae kwa mkapa Click to expand... Itapendeza sana na yeye akitupia
fimboyaasali said: yanga imetangaza kuwa mechi ya mamelodi,imepewa muda dei:unaitika wote tupige simu tujae kwa mkapa Click to expand... Itapendeza sana na yeye akitupia
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 123,959 Reaction score 204,064 Mar 26, 2024 #9 SAYVILLE said: View attachment 2944312 Masandawana wanasema kata simu kata simu, tupo site! Ogopa matapeli, tarehe 30/03 ni Mokoena Day Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SAYVILLE said: View attachment 2944312 Masandawana wanasema kata simu kata simu, tupo site! Ogopa matapeli, tarehe 30/03 ni Mokoena Day Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Smart AJ JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 5,564 Reaction score 5,929 Mar 26, 2024 #10 Idea za kipumbavu pumbavu tu,sasa muda day ndio nini??