Unakaa na mwanaume mwaka wa 3hajaenda kwenu, hata kujitambulisha, bado unaitwa mke jamani C balaa. Bado unamzalia wazazi wake hawashtuki, kama kunakutoa mahari,
Bac utakuta mtu anavumilia(mwanamke), then anatafutiwa mwanamke mwingine anazaa naye.
Bado mwanamke anavumilia.
Cjaelewa hao watu ni wapenzi, mme na mke, au mahawala, ni mtazamo wangu tu, jamani