Ni mtandao gani unafaa kwa internet

Ni mtandao gani unafaa kwa internet

Baraka sheni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2015
Posts
473
Reaction score
198
hv wana IT ni mtandao gani una vigezo vifuatavyo katika internet kwa matumizi ya kompyuta/ laptop.
1. una speed ya hali ya juu.
2. vifurushi vyake vya MB ni nafuu.
3. hausumbui wakati wa kudownload.
 
Kupata vyote kwapamoja ni ngumu kidogo mkuu so far voda ilikua ina sifa hizo ila sahizi gharama ya vifurushi imepanda,ikifuatiwa na halotel,kwa halotel kama utaweza kuwa popo basi uta enjoy 10GB za usiku kwa 1500/= na speed iko vizuri
 
Mtandao wa internet kwa makampuni mbali mbali utofautia inaweza kuwa vizuri ukiwa eneo flani na jingine mtandao huohuo usifanye vizuri, kwa dar vodacom 4g ipo vizuri pamoja na ttcl 4g
 
Hapana sio kweli nime stream live game mbili ya Manchester Derby na Game ya Chelsea vs Swansea zote full dk 90 na bado kufungua browser ,nimechek asubui zimebaki MB 1510

Sijakuelewa mkuu.
 
Sijakuelewa mkuu.
Nimemjib mshikaji aliyesema icho kifurushi kinaka saa 1 tu kimeisha labda kwa kuchat ndo nikamwambia nimetumia kuangalia Live Game mbili za Mpira pamoja na kuchat lkn bado hakijaisha Mb ka 1510 zimebaki nasubiria leo tena usiku nichek Uefa Psg vs Arsenal , sbb kwangu mm Voda inaonyesha bila ku buffer kuliko Halotel
 
Mi nadhani speed ya mtandao inategemea na eneo ambalo mtumiaji yupo.

Hapa nilipo mtandao wa halotel unashika kwa speed kali sana kwasababu ni mita 100 toka kwenye mnara.

Ila natumia vodacom kwasababu wana mtandao mzuri na reliable.
 
Back
Top Bottom