ni mpenzi wangu au na wengine wako ivi

ni mpenzi wangu au na wengine wako ivi

Ungekuwa uko nae karibu ningekuomba umtandike viboko ili aache ujinga, wenzie saahivi wana presha za mitihani ye ana presha za mapenzi.

Wote wa kucharaza bakora, mtumiaji na mtoaji, kama huyu ni mtu mwenye akili zake angemkazania bintii wa watu aweke juhudi na si kumuendekeza na kuja kuomba ushauri hapa.
 
ndivyo ulivyomzoesha,na wewe lazima uwe na dent? mnawafelisha watoto halafu mnamsingizia ndalichako
 
Ukimwonya utakuwa umemsaidia, ni kwa nini usiwe mkali kwake ili hata akikuchukia mbeleni atakukumbuka?
 
Huyu jamaaa atakuwa na ile perception ya RESHAPE UR WORLD AND LIVE THERE IN. Kaogopa wadada wa mjini wana gharama halafu wajuaji kaamua kuingia zizini akateka ka FIV akalee halafu akaoe! Sasa kasahau form four wa siku hizi ni majanga matupu!
Haki elimu wamsamahe buree.!
 
Kama kawaida yangu jamani wakubwa zangu shkamooni wadogo zangu maraaba,ni yule mpenz wangu alevunja cm yake kama mnakumbka vzur kwawale ambao walopitia ule uzi wananelewa,saiv keshapata cm nyngine sjamnunulia sjui kapata wapi au labda kanunua ila ameanzisha jambo jpya,mpenz wangu uyu kila akitoka skul anaoga anakula anatafta cm ilipo anajilaza kitandan alaf ananipandia ewani,yani mtoto ataongea uyo mpaka bas bila masaa mawili kuisha bas nisa li1 na nusu au1,sasa kwakweli inanikera na nnashndwa kumwambia kwamba ananichosha kuongea kwa mda mref na mimi si muongeaji jamani,minataka kama ni mpenz wangu bhana tuongee dak20 au 30 bas inatosha jaman ntafanyaje sasa anielewe na ni kila siku ndo mtindo wake uo na ndo anafanya mtiani wa form4 nanlimwambia saiv awe bize kidogo na masomo,leo yenyewe wako pepa ya7 ahsante ushaur jaman,kejeli,matusi,spendagi,naimani apa pana wastaarabu watupu.

Naelekea kituo cha polisi kutoa taarifa kwamba kuna mtu huku anatembea na mtoto wa shule
(hebu tueleze ulianzaje kungonoka na mwanafunzi ?)
(Hebu mwonee huruma mzazi anayelipa hiyo ada)
 
Kama kawaida yangu jamani wakubwa zangu shkamooni wadogo zangu maraaba,ni yule mpenz wangu alevunja cm yake kama mnakumbka vzur kwawale ambao walopitia ule uzi wananelewa,saiv keshapata cm nyngine sjamnunulia sjui kapata wapi au labda kanunua ila ameanzisha jambo jpya,mpenz wangu uyu kila akitoka skul anaoga anakula anatafta cm ilipo anajilaza kitandan alaf ananipandia ewani,yani mtoto ataongea uyo mpaka bas bila masaa mawili kuisha bas nisa li1 na nusu au1,sasa kwakweli inanikera na nnashndwa kumwambia kwamba ananichosha kuongea kwa mda mref na mimi si muongeaji jamani,minataka kama ni mpenz wangu bhana tuongee dak20 au 30 bas inatosha jaman ntafanyaje sasa anielewe na ni kila siku ndo mtindo wake uo na ndo anafanya mtiani wa form4 nanlimwambia saiv awe bize kidogo na masomo,leo yenyewe wako pepa ya7 ahsante ushaur jaman,kejeli,matusi,spendagi,naimani apa pana wastaarabu watupu.
......ndugu kwanza naomba uandike vizuri kwa kiswahili nzuri ili ivutie kusoma,pili huyo binti hafai maana bado hajajua mbele wala nyuma,mtu ambaye yuko kwenye mtihani bado anaweza kupoteza muda mrefu kwenye porojo ana tatizo,kama hajafeli bahati yake...mwambie tu ukweli kwamaba kila kitu kwa kiasi au una kazi huwezi kuendelea kuongea muda mrefu hivyo utamsaidia kuliko kumwendekeza hivyo...
 
Hamkubaliki Kanisani wala Msikitini labda kwenye division 5.
 
Wote wa kucharaza bakora, mtumiaji na mtoaji, kama huyu ni mtu mwenye akili zake angemkazania bintii wa watu aweke juhudi na si kumuendekeza na kuja kuomba ushauri hapa.

nadhani akili zake hazijitoshelezi na usikute huyo denti ndio kamzidi akili na ujanja jamaa, hawa ndio wanaowaletea wadogo zetu division O kwa kutongoza vitoto vya shule ilhali wanajua vikionja asali vinataka kuchonga na mzinga....!!!!!
 
we sema una hamu ya kwenda kula matonge ya bure lupango
 
hivi watu wanaharakishia wapi these days...masaa mawili nini kinachoongelewa? majanga than I imagined :bored:
 
Mkuu hivi form 4 si ndio wako kwenye mitihani ya taifa? Afu kuna mijitu huwa inailaumu NECTA wakati wanafunzi wenyewe ndo hawa. Mitoto mpaka ikombolewe na Big Results Now????

y mad bro?? y mad??
 
Kama kawaida yangu jamani wakubwa zangu shkamooni wadogo zangu maraaba,ni yule mpenz wangu alevunja cm yake kama mnakumbka vzur kwawale ambao walopitia ule uzi wananelewa,saiv keshapata cm nyngine sjamnunulia sjui kapata wapi au labda kanunua ila ameanzisha jambo jpya,mpenz wangu uyu kila akitoka skul anaoga anakula anatafta cm ilipo anajilaza kitandan alaf ananipandia ewani,yani mtoto ataongea uyo mpaka bas bila masaa mawili kuisha bas nisa li1 na nusu au1,sasa kwakweli inanikera na nnashndwa kumwambia kwamba ananichosha kuongea kwa mda mref na mimi si muongeaji jamani,minataka kama ni mpenz wangu bhana tuongee dak20 au 30 bas inatosha jaman ntafanyaje sasa anielewe na ni kila siku ndo mtindo wake uo na ndo anafanya mtiani wa form4 nanlimwambia saiv awe bize kidogo na masomo,leo yenyewe wako pepa ya7 ahsante ushaur jaman,kejeli,matusi,spendagi,naimani apa pana wastaarabu watupu.

Wewe ni mtoto wa miaka mingapi?? Ivi unajua siku izi kuna divisheni 5??
 
jamani kwaushaur kweli mmenishauri ila wengi wenu mnaonesha kukerwa na mimi kuwa na mpenz ambaye nimwanafunz,jaman sikama sijui kuwa na dent ni kosa najua kabisa ila vigezo na mashart tunavifuata mi na mpnz wangu huyo,ivi kwan ni kosa tukianzisha mapenz mbali kdogo jaman ili angalau tuzoeane kidogo kuliko kukurupuka ukubwani?
 
Back
Top Bottom