mangi mandara
Member
- Aug 24, 2013
- 64
- 2
Kama kawaida yangu jamani wakubwa zangu shkamooni wadogo zangu maraaba,ni yule mpenz wangu alevunja cm yake kama mnakumbka vzur kwawale ambao walopitia ule uzi wananelewa,saiv keshapata cm nyngine sjamnunulia sjui kapata wapi au labda kanunua ila ameanzisha jambo jpya,mpenz wangu uyu kila akitoka skul anaoga anakula anatafta cm ilipo anajilaza kitandan alaf ananipandia ewani,yani mtoto ataongea uyo mpaka bas bila masaa mawili kuisha bas nisa li1 na nusu au1,sasa kwakweli inanikera na nnashndwa kumwambia kwamba ananichosha kuongea kwa mda mref na mimi si muongeaji jamani,minataka kama ni mpenz wangu bhana tuongee dak20 au 30 bas inatosha jaman ntafanyaje sasa anielewe na ni kila siku ndo mtindo wake uo na ndo anafanya mtiani wa form4 nanlimwambia saiv awe bize kidogo na masomo,leo yenyewe wako pepa ya7 ahsante ushaur jaman,kejeli,matusi,spendagi,naimani apa pana wastaarabu watupu.