Kanayo O Kanayo;Tony Umez;Oge Okoye;Clem Ohameze;Patience Ozokwor;Fabien Adibe na wengineBilionear club
Peter odoche na wengineo
daaah ilikuwa hatari sanaa
Hatari sana, iyo muvi daah walivyokuwa wanabadilika na kuwa majoka mwili ulikuwa unasisimka sana hadi naogopa nkimuona mtu kapaka poda usoni namuogopaKanayo O Kanayo;Tony Umez;Oge Okoye;Clem Ohameze;Patience Ozokwor;Fabien Adibe na wengine
ivyo vichwa vilvyosimama hapo ni noma juu ya balaa