Ni mimi peke yangu sipend kupostiwa ama?

Ni mimi peke yangu sipend kupostiwa ama?

Mkuu kama uko clean na huna makando kando kwanini hupendi?

Hapa kuna mawili mkuu, mosi, humpendi mpenzio kiviiiiiile yaani you are not proud of her, so akikupost ni kama anakuchoresha maana watu watajua ni mtu wako au/na pili, hayuko peke yake kwako, ana wenzie sasa hizi mambo za kupostiana ni kama anataka kupigisha shoti
Mi najulikana sana aisee...atanisababishia dhahma
 
Ni u-teenager na mkumbo wa kishamba uliokua trend na sasa unafanywa kama fashion

Mwezi uliopita kuna mchizi alifiwa na baba yake basi siku nzima jamaa anapost mapicha ya dingi yake tu na caption ya r.i.p kila social network jamaa anaacha post, mpaka nikaanza kuwaza huyu mchizi anapata wapi huo muda wa kushika simu kipindi hiki cha majonzi na maiti hata kuzikwa bado?

Jamaa alikua anapost picha kuanzia mchakato wa kumtoa marehemu mochwari hadi kuzika, mara ajirekod analia eti akonge nyoyo za watu aonekane ameguswa na msiba

Mchizi amekua kero sana leo nimeamua nim-block baada ya kuona msiba umeisha yapata mwezi na siku kadhaa lakini bado anapost post tu r.i.p baba kila sehemu
Wa Tz tumevamia technolojia kwa vibaya aisee
 
Mimi. Sijawai postiwa jamani....Japo ningependa hata Mara moja...

Kuna Muda naweza post kitu...amabacho Mimi na mlengwa tu ndo tunaelewa...but anakiona alafu hasemi kitu...

Nimeamua kuachana na hayo maswala ya kupost
Hahahaha. Kwamba anaona kabisa na hafanyi chochote...kuwa nae makin huyo....ntakwambia skunyingne.
 
nakumbuka ilikuw jpil ya week iliyopita alinipost status WhatsApp.dk 20 mbele nashangaa kwenye cm yangu UNREAD SMS 18 .

nikapigwa block na madem zangu wote

siku hyo hyo nikamla mhindi 1,680,0000
Wanatusababishia matatzo sana hawa
 
Analiwa huyoo.. Anakuhadaa tu.
Mupenz wangu huwa ananipost sana ..nmemkataza asinipost instagrm ila ananipost sana whatsp..sasa dah

Imekua mwiba hii ishu...sjaelewa lengo lake...

Mi huwa nna mawazo mabaya kwel..sometime nawaza tu kijinga kwamba anapost ili ajijue yuko peke yake ama nin

Ili kwamba hata kama mwingne agonganishe magar ama

Nmemwambia mi nmeacha tabia hzo haelew

Mim sipend kupostiwa jaman dah..naona utoto flan hv...hyo valentine sasa ndo ilikua kama picha zmeungana yan..yaan ni kama mstar wa status...

Kiukwel nmekereka ..ila sasa bint mwenyew nashindwa hata react maana atajiskia vbaya maana amekufa ameoza..nalijua hlo

Dahh..mitihan hii

Uzi tayar
 
Naona Unapenda matatoo mkuu... Hivi tatooo Wewe binafsi zinakufurahisha Nini....

Like Ni sexy au
Hakuna kitu sipend kama tattoo..napenda awe nayo dem ambae sina malengo nae.yaan awe nazo for fun tu..ila sio mwanamke ambae nna plans nae za ndoa..marufuku.Namvumilia tu..sabab sina future nae...nashindwa mwacha ..namwonea huruma..ni mdada mwenye mvuto kwa nje plus na dread zake bas anavutia.ila sina malengo nae ya ndoa
 
Huwa siwaelewi kabisa watu wa design hii

Kuna mmoja Co-worker anavitabia vya aina hii
Ni u-teenager na mkumbo wa kishamba uliokua trend na sasa unafanywa kama fashion

Mwezi uliopita kuna mchizi alifiwa na baba yake basi siku nzima jamaa anapost mapicha ya dingi yake tu na caption ya r.i.p kila social network jamaa anaacha post, mpaka nikaanza kuwaza huyu mchizi anapata wapi huo muda wa kushika simu kipindi hiki cha majonzi na maiti hata kuzikwa bado?

Jamaa alikua anapost picha kuanzia mchakato wa kumtoa marehemu mochwari hadi kuzika, mara ajirekod analia eti akonge nyoyo za watu aonekane ameguswa na msiba

Mchizi amekua kero sana leo nimeamua nim-block baada ya kuona msiba umeisha yapata mwezi na siku kadhaa lakini bado anapost post tu r.i.p baba kila sehemu
 
Hapo yeye ndio anapost picha zako kwenye status yake inakupa shida. Je siku akikuambia umpost yeye kwenye status yako si ndio utakufa hasira?

Au unawachanganya na rafiki zake bila kujuana unaogopa watatambuana na kuleta kizaazaa.?
 
Back
Top Bottom