ni mimi mwenye matatizo au mpenzi wangu!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ni mimi mwenye matatizo au mpenzi wangu!!!!!!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mynisha, Aug 29, 2012.

 1. mynisha

  mynisha Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani wana jf naomba kusaidiwa mimi nikiwa katk yal mambo ye2 na my haniiii huwa sifeel kitu na wakati mwingine huwa nasikia maumivu ....... mpenzi wangu akaniambia labla ninatatizo kwenye kizazi tht y cifeel chochote so nikamwone doctor nilikubaliana nae kuwa huenda kweli nikawa na matatizo bt katika kufanya utafiti nikaona kunam2 kaelezea humu jf sababu za mwanamke kutopata raha wakati wa tendo akadai sababu moja wapo ni maandalizi mabaya wakati wa sex ....... nikicomper na mpenzi wangu huwa hatuna maandalizi ya kutosha cz mara nying huwa anaanza moya kwa moja na sex after kuwa nicked my be ata2pia na kic kidogo zen anaanzisha safari huwa napata maumivu mda mwingine cifeel ki2 chochote co nitatizo langu au hata kutokuwepo kwa maandalizi ni chanzo mojawapo na niliwai kumwambia labda cz huwa unafikia kusex moja kwa moja wthout kutomasana bt he waz never put my requst on concrdtn >>> naomba ushauri wenu ni kweli nina matatizo? . au hata maandalizi mabaya yanaweza yakawa ni chanzo plz naomba kusaidiwa kwa ushauri na si kutukanwa ...,...au.... kujibiwa ovyo nahitaji ushauri wen plz end plz
   
 2. l

  london1 JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 60
  Kwanza kabisa pole kwa mtihani uliokuwa nao,mimi sitaki kuongea sana sababu naona tayari ushagundua tatizo lipo wapi. Siku zote kama hakuna maandalizi ya kutosha kabla ya s.x tatizo hilo utokea,na wewe kama mwanamke unaujua mwili wako vizuri na pia unajua una'respond' vipi na mguso gani unakuridhisha.kwa hiyo kilichobakia ni kujaribu kuongea na mwenzi wako um'convince' akusikilize na akufanyie unachopenda,sababu mapenzi ni lazima wote mridhike! Kama hataki kukusikiliza hujue huyo ni 'selfish,immature,self indulgent baby'.
  Miili ya wanawake ni tofauti na wanaume,wengi wenu mnachukua mda mwingi kuwa tayari,kuna kumbe. Nilikumbana nacho matayarisho tu yalichukua mpaka lisaa limoja au zaidi,lakini anakuwa more than 50% karidhika,muingiliano ilikuwa ni kumalizia tu.hivyo mwelimishe mtu wakoikiwezekana mtafutie makala yanayoelezea masuala haya,internet imejaa magazeti ya aina hii kibao.
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Maelezo. . .
  Swali. . .
  Jibu. . .
  Swali marudio. . .

  Umeshaambiwa kiafya huna tatizo na lililobaki kubwa ni hilo ulilolielezea mwenyewe. . . MAANDALIZI.

  We ina maana huna usemi mnapokuwa faragha? Huwezi kumwambia "bado" akiwa anaonyesha nia ya kuzama mgodini? Jifunze kuwasiliana nae, ikibidi tafuta hiyo mada umpatie asome maana wapo wasiojua kwamba maandalizi nayo ni muhimu haswa kwa mwanamke. Na kama hajui unachotakiwa ni kumsaidia ajifunze kwasababu wewe umeshajua.

  Ukifanikiwa kumfikishia elimu, akajirekebisha na maumivu yakiendelea ndio ujiulize kama una tatizo au la.
   
 4. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  hapo tatizo maandalizi tuu mwambie akuchezee zaidi
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,029
  Trophy Points: 280
  Nakushauri urudi darasani ukasome. Muda ukifika utafanya mapenzi mpaka ukinai.

  Nadhani sijaenda kinyume na angalizo lako kwenye red hapo!

  Mitoto ya siku hizi bwana........ Khaaaa!!
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  hubby hebu mshauri kitukuu, halafu anahitaji ukaguzi huyu
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  binti, mwambie huyo mwanaume aache kukuparamia......
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,029
  Trophy Points: 280
  Hahahahah

  When I was in secondary school, the girl used to sit next to me died after performing illegal abortion. It was very sad because it happened a week before we started our final exams.

  Women who perform illegal and legal abortions do that for many reasons. Some don't want to be expelled from school or job. Some don't want to take parental responsibilities while they are still students or young. Others do that because they don't want to disappoint their parents or spouses.

  The array of reasons why women choose to perform abortions is endless, and the more we keep this process undefined, the more we likely endanger the life of young women. Do you think it's time to make abortion legal?

  To be honest, in Tanzania I haven't heard a single case in which a woman was sentenced to jail for performing abortions. However, there is a good number of students who have been expelled from schools for doing that.​


   
 9. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  aaah yaani hapo kama dawa ushaijua ila hutaki tu kutumia, jifunze kuwasiliana na mpenzi wako mwambie unachotaka ili hasikuumize
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kwanza karibu sana jamvini.....
  Muweke chini mpenzi wako kwa kumwambia ukweli kuwa hufurahii mapenzi kwa sababu ya maandalizi duni. Kama hawezi kukuandaa mpige chini njoo kwa tunaojua kuandaa......lol.
   
 11. mynisha

  mynisha Member

  #11
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thnx meritta nimekupata
   
 12. mynisha

  mynisha Member

  #12
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thnx katavi kwa ushauri wako god blec u
   
 13. Penelope

  Penelope JF-Expert Member

  #13
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 654
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 80
  Pole anti,ila ulivoandika unaonekana kama bado mudogo wewe,,!Nways wanaume wanatakiwa wajue wanawake wanahitaji more romance b4 anything,coz tuko tofauti kihisia na kimaumbile pia.
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ufanyie kazi.
   
 15. mynisha

  mynisha Member

  #15
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nashukuru xana london1 ndo jamii inaitaji watu kam nyie lakini tatizo linapokuja analazimisha mi ndo mwenye matatizo hyvo nikamwone doctor hataki kuamini kila ninapomwambia mbona hata maandalizi ni mabaya alisubutu hata kuniambia we mwanamke mgumu xana kulizika.......... zen cijataka kumwona doctor b4 kupata ushauri kwa watu wastarabu kama nyie!!!!!!
   
 16. mynisha

  mynisha Member

  #16
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahaha usijali
   
 17. mynisha

  mynisha Member

  #17
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thnx kwa ushauri wako
   
 18. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #18
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  kwanza vitu nilivyogundua hapo ni;
  1. hakuna mawasiliano mazuri kati ya hawa watu wawili
  mdada baada ya kusoma uzi hapa jf akagundua kuwa inawezekana maandalizi mabovu, kumwambia jamaa, jamaa kapuuzia na mdada katulia tu

  2. hakuna maandalizi yakutosha
  ujue sisi wanaume tuna kasumba moja mbaya, hatupendi kuambiwa au kukubali ukweli, mpaka mwanamke aonjeshwe na jamaa lingine huko nje kisha akuache ndo ujue, mi nahisi jamaa kishajua kwamba kweli shughuli ya sio nzuri...ila tu mbishi


  nini kifanyke
  1. jaribu kuongea na msela wako katika mazingira ambayo hayamfanyi ajiskie offended kuwa hawezi shughuli au huduma yake sio, kisha mueleze unavyojisikia, ikiwezekana toa na suggestion afanye nini mfano kama unapenda akushike maeneo fulani ili upate msisimko mwambie ikiwezekana mueleze jinsi ya kukushika,

  2. inawezekana jamaa nae hajui nini cha kufanya, si unajua tena vijana wa siku izi wanakurupukia mambo, mshauri awe anapitia pitia makala mbali mbali kuhusu kumfikisha mwanamke, hii itamsadia kujiamini na kutaka ku explore new areas ambazo atakuwa amejifunza....

  3. akiwa mbishi hataki kusikia then nitafute nikuonyeshe how sex is done, i hope hutaregret choice number tatu heheheehehhe....im kidding

  ni hayo tu
   
 19. mynisha

  mynisha Member

  #19
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thnx mtotosix kwa ushauri wako lakin tatizo linapokuja ni kuwa hapendi nimwambie ukweli na hata nikimwambia kitu chochote kinachousu yeye ambacho hakinifurahishi ananiambia ninadharau xana na mimi naogopa kumkwanza tht y nw huw cimwambii umenilizisha au la cz naogopa kumkwaza cz nampenda xanaaaaaa co huwa namwacha alizike yeye zen ciku ipite!!!!!
   
 20. mynisha

  mynisha Member

  #20
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo naogopa kumkwaza
   
Loading...