Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,334
- 13,636
Mnisaidie kum- cc Msalani na Lizabon au cc Mingoi na Mwekundu waje wamjibu huyu ndg.sisi huku wote sisimu
na je kuna mgomo wa wanachama wa ccm? na kama upo itakuwa lini.nawasilisha
sisi huku wote sisimu
na je kuna mgomo wa wanachama wa ccm? na kama upo itakuwa lini.nawasilisha
CCM kesho nao wataandamana kupinga maandamano ya Chadema!!!!!
sisi huku wote sisimu
na je kuna mgomo wa wanachama wa ccm? na kama upo itakuwa lini.nawasilisha
Idadi kubwa ya wananchi haiungi mkono kabisa maandamano ya chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ,sasa kwanini waendelee na mchakato wao wa kuandamana?