ni mifugo gani inayokufurahisha kwenu?

Basi kwetu mimi huwa nampenda sana yule fisi wa baba wa kutembelea usiku huwa namuulizaga kwa nini huwa hamtumiagi mchana na kwa nini hapendagi niwaambie watu. Nampenda ila huwa ananitisha sana aisee dah! Basi mzee huwa ananiambia atakujanikabidhi huo usafiri siku moja ila mi naonaga ni utani tu.
 
Nakumbuka nilivyokuwa mdogo nilikaokota katoto cha nyani, nikakafuga kwa miezi 6 nikapata mteja ( mzungu mmoja alikuwa anasafirisha ndege nje ya nchi akamnunua shs 500). Burudani yake ilikuwa wakati namlisha, yaani anafinya wali kama binadamu kabisa. Ukimpa ndizianaimenya vizuri utadhani charmingirl mweh! He was more than my friend wakati nikimtoa bandani.
 
sobhuza na Charminggirl, huyo beberu ntampiga risasi kumsarandia my cute petty goatress(hii 'ress' huwa naongeza kusisitiza kuwa ni ka princess).

Anakaa ndani, na kula wali na ugali kama kawa huyo beberu ampate wapi?

BADILI TABIA, wee huna petty? Tafuta hata Chihuachua.
 
Last edited by a moderator:
Me staki makuu.
Naishi na kijimbwa kangu kanaitwa 'Kipisi,
Kipisi ni zaidi ya Bf,
ni zaidi ya Fiancee,

Asubuhi mazoezini Oysterbay nakimbia nako,
Nakaogesha na maji ya Bahari,
kanachekelea tu.
Wakati wa kurudi Mazoezini nakavutisha Msubha.
Basi,kananikimbiza weee..!!!,Hadi naingia mtaani kwetu.
Bar naenda nako,
Maisha ctaki kuenda nako maana wanakizuia mlangoni ki-mbwa kangu.
Naenda nako popote pale.
Nampenda sana Kipisi....!!!,
Kipisi,nakupenda baba ee...!!!
 
jaman Kingmairo ndo ushanifananisha na kanyani! Sobhuza uko wapi umckie Kingmairo????????
 
haya Madame B. plz hook me up to kipisi. je ni kajike nimpe Cenna?

Charm Shosti, unataka ukwe..???
Kipisi wangu ni Kidume kilichonona ati..!!!
Ila naanza kuwa na wacwac nako,
Juzi nimemfuma yuko na vidume wenzake wanacheza Kombolela kwenye migomba,roho iliniuma,
Nimelia sana.
Sasa nina mpango nimtafutie kijike,
Maana ataendelea kupenda vidume wenzake...!!!
 
pole Madame B,lakn c wanakapa madeal ya mtaan! wetu pia ni dume,bas wawe marafk
 
pole Madame B,lakn c wanakapa madeal ya mtaan! wetu pia ni dume,bas wawe marafk

Afadhali ampate wa kumtoa 'upweke.
Basi mlete Cenna wako acheze na Kipisi wangu.
Kipisi ana madeal huyo...balaa..!!!
Yani kiufupi ni fulu Security,hadi kwa Manji navimba...!!!
 
Afadhali ampate wa kumtoa 'upweke.
Basi mlete Cenna wako acheze na Kipisi wangu.
Kipisi ana madeal huyo...balaa..!!!
Yani kiufupi ni fulu Security,hadi kwa Manji navimba...!!!

haya,saiv cenna yupo lindon. tamleta asubh na mapera! me lala nw...
 
naniliu bana ndo naniliu wenu, c nimenaniliiwa jana na mama mzazi measkron@
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom