ni mifugo gani inayokufurahisha kwenu?

hahahaha we noma, emh mwaga stry humu.. huyu mtot wa rck cty anatulingshia mbwa wke.!!

Niko na paka wangu pamoja tunachezea jf kiukweli ni burudani tatizo limekuja pale aliposoma habari za mapanya kakasirika vibaya.
 
pole, mie nawapenda.....kuna kipindi nilikuwa nao wengi mpaka sista wangu alivyokuja kwangu akanisema, nikawauza, nimembakisha smoky tu

Afu wewee! Hulali? Which time have you reserved fo grown up ?
Hayaa bwanaa ! Sasa si uniuzie namie kajibwa kamoja ? Bt nataka kadume shiingapi ?
 
pole, mie nawapenda.....kuna kipindi nilikuwa nao wengi mpaka sista wangu alivyokuja kwangu akanisema, nikawauza, nimembakisha smoky tu

Pole ya kani sasa, wakati siyapendi. Mi nakapenda kapaka bwana, maskani yake jikoni afu kanasocialize vizuri, tatizo ni pale kanapojisaidia kwenye unga.
 
mie nina mbuzi wangu(petty) basi huwa ananiburudisha.

Jioni nikiwahi namchukua kwa evening walk, tunaenda kaa kwenye river bank ya mto simiyu.

She is so cute, ananiangalia anatabasamu, tunakaa kimya tukiangalia ng'ambo ya mto.

Basi bado ni msichana, anatembea kwa madaha kweli, kiuno juu juu kama mtetea.

Ni mweupe!


Mmmh we Baba mbona unaonekana una sifa na matamanio juu ya huyo Mbuzi?
Tueleze...asije akawa ndie mamie mwali mwanakwetu
 
jirani yangu kuna Mwanajeshi anafuga Bata.
Napenda Bata zake majike pindi wanapotoka kulalia...
Dah wanamwaga uharo wa moto mixer mvuke
 
Wengine tulishatoka makwetu!
Mie niko kwangu, ni hivi kwangu mie Kasuku ndiyo mambo yote .
 
Wengine tulishatoka makwetu!
Mie niko kwangu, ni hivi kwangu mie Kasuku ndiyo mambo yote .

wooh,jaman kasuku me hupenda vituko vyake. kuiga kila akisikiacho. bs jiran ake aunt anae ukienda ukipiga hod unasikia karb utadhan kuna mtu kumbe kasuku!
 
Back
Top Bottom