Ni Miaka sasa imepita!

Bei rahisi Electronicks

Senior Member
Joined
Nov 24, 2025
Posts
167
Reaction score
392
Habari kaka ,mimi mzima wa afya ni miaka mingi hatujakutana uliondika mimi nikiwa mdogo sasa mimi nimekua mtu mzima week ijayo natarajia kuoa .

Nilisoma Kwa tabu sana lakini nilibahatika kumaliza chuo sasa ni Afsa mdogo mwenye nyota jeshini

Baba alishafiriki nikiwa standard four,Sijajua ulipo kaka yangu ila Mungu akulinde na familia yako na kama umefariki basi uwe na pumziko jema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…