Swadaktaa wala hujakosea akili zako ni zaidi ya sendemaa
Jamani kila nikihesabu kuanzia mwaka 1961 naona jana ndo tumekamilisha miaka 49 tangu tupate uhuru na leo trh 10 ndo tumeuanza mwaka wa 50 tangu tuwe huru,sasa tunasherehekea kipi? Au mi ndo sijui mahesabu? Mwaka wa kwanza wa uhuru ulikamilika trh 09 Dec 1962 so kwa sasa mwaka wa hamsini unatakiwa kukamilika mwakani 09 Dec 2012.
Labda ni uelewa wangu ndo umekaa sendemaa.
Wewe ni mwehu,akili zako hazina akili.
Kama 1962 tulikamilisha mwaka mmoja basi 1971 tulikamilisha mwaka wa kumi.Toka 1971 mpaka 2011 ni miaka 40,ukijumlisha na miaka 10 unapata 50.Nenda hospitali kapime akili.
Miaka 10Mwaka 1971 tulikamilisha miaka 9 na sio kumi, itaakamilishaje mwaka ambao bado hujauanza??
We unahesabu vipi????? km umeanza safari saa 1 asb ukafika saa 3 utakuwa umetumia masaa ma 3 au ma 2? Huwezi kuhesabu kuanzia saa moja bali kuanzia saa 2 lilipokamilika saa la kwanza otherwise utakuwa umetumia msaa matatu,chukua calculator uhesabu kwa umakini
Yah unajua sometime kuna kukosea, huwezi amini nilikuwa nakosea serious, kwa sasa tuko pamoja Its 50 yrs ingawa ni ya uhuru wa maneno coz bado watu wananyanyaswa,wananyimwa haki zao in short hakuna uhuru wa kweli TanzaniaMiaka 10
1/1961-62; 2/1962-63; 3/1963-64; 4/1964-65; 5/1965-66; 6/1966-67; 7/1967-68; 8/1968-69; 9/1969-70; 10/ 1970-71
Itabidi tutumie visoda kuhesabuWewe ni mwehu,akili zako hazina akili.
Kama 1962 tulikamilisha mwaka mmoja basi 1971 tulikamilisha mwaka wa kumi.Toka 1971 mpaka 2011 ni miaka 40,ukijumlisha na miaka 10 unapata 50.Nenda hospitali kapime akili.
62, 63, 64, 65, 66, 67, 68, 69, 70, 71 = 10 years. Vp imekusaidia?!
Dah imenisaidia kiukweli
Well Done
Dah imenisaidia kiukweli
Well Done
62, 63, 64, 65, 66, 67, 68, 69, 70, 71 = 10 years. Vp imekusaidia?!
62, 63, 64, 65, 66, 67, 68, 69, 70, 71 = 10 years. Vp imekusaidia?!
Erickb52 said:Dah imenisaidia kiukweli
Well Done
Jabulani said:Itabidi tutumie visoda kuhesabu
Shark said:Asipoelewa na hii inabidi arudi darasa la nne!!!!