Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 486
35+ 17-= ????
wanaume bwana alikuwa anafata mnato au viziwa kama konzi????? hasira zimenijaaa
Yaani ulikuwa kwenye kikao! Haiwezekani ujue mpaka viziwa vya huyu binti! Kha hizi ID fake hizi!
Labda kakomaa kiakili kuliko umri wake....au jamaa ndo hajakomaa kwahiyo wanaendana vizuri tu!!kwa mtu wa 35 kuoa 17 yrs ni matatizo hayo(more than twice yunger).
Ni challenges gani wataongea ndani?...na kwanini huyo mtoto amekimbia shule?
Ina maana jamaa hadi anavutia chumbani alikuwa hana mawasiliano naye, hadi ANAKUJA kufahamu kama surprise?
Sasa na we mkuu wangu Eeka, ulishindwa kumgundua huyo binti kuwa ni kinda?...maongezi yake hukuyastukia?
Jamaa akikimbia mkuu unadakwa weye hadi uweke sawa mambo!
Mshauri amwite mahali amwambia kiuwazi kuwa ni kinyume cha sheria kuoa mtoto wa 17 , mtafungwa bure!...Kama huyo mtoto hatoelewa ni moja ya kipimo cha utoto, basi jamaa akimbie hapo!
Aombe uchumba alafu wasubirie mwakani au hata minne mitano mbeleni kufunga ndoa kama tatizo ni miaka tu!'!Maana kama anampenda kweli sidhani kama hilo litashindikana!!
Ila kama nia yake ilikua kumchezea mtoto wa watu aachane nae!!Aanze kwa kuhakikisha mahusiano ya chumbani anasitisha asap....alafu avumilie muda kidogo upite ahakikishe binti
hajaambulia ujauzito kama walikua
haazingatii kinga.Baada ya hapo aanze vimbwanga vya hapa na pale ili binti ndo amuache yeye kumuepushia mtoto wa watu maumivu kwa kiasi flani!!
Next time asiingie tu kichwa kichwa....atanyea debe!!!
Hehhe hehe huwezi jua labda ndo kabinti kenyewe mie ohooo :biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Na mimi nimemjibu inawezekana binti kakomaa kiakili au jamaa hajakomaa ndio maana hakumgundua mapema....kwa maana hiyo uwezo wao unalingana....na kama walikua wanaelewana lugha muda wote huo mpaka kufikishana chumbani hata huko mbeleni itawezekana!!Kama umemsoma PJ watashare nini sasa? Yaani unarudi toka job unamkuta anacheza nage pale nje!
Na mimi nimemjibu inawezekana binti kakomaa kiakili au jamaa hajakomaa ndio maana hakumgundua mapema....kwa maana hiyo uwezo wao unalingana....na kama walikua wanaelewana lugha muda wote huo mpaka kufikishana chumbani hata huko mbeleni itawezekana!!'
Ikiwa jamaa nae atajiuliza swali kama hilo itabidi nimtafute aambulie angalau kangumi maana hayo mawazo alitakiwa afikirie yote kabla ya kumharibu mtoto wa watu!!
35+ 17-= ????
wanaume bwana alikuwa anafata mnato au viziwa kama konzi????? hasira zimenijaaa
Kama mpaka nyie muone alichotakiwa kuona yeye basi amini kwamba uwezo wao uko sawa....amsubirie tu akiongeza miaka amuoe!!Sisi ndo tumeona hatari jamaa alikuwa hajagundua hatari hata kidogo! Yeye alikuwa anamumunya tunda tu haelewi! Tumempeleka darsa ndo jamaa anajifunika shuka karibu kukuche! huyooo mkimbizi saa hii. Shemeji yetu anasumbua huyoooooooo!
miaka 17 umri wa skonga mbona.
Jamaa anakafataki katoto jamani.
Kama mpaka nyie muone alichotakiwa kuona yeye basi amini kwamba uwezo wao uko sawa....amsubirie tu akiongeza miaka amuoe!!
Jamaa alitaka kuoa kabsaaaaaaaaaa. Hakuwa anamfataki! wallah mi nakwambia umbo hilo we mdogo!
aisee gap kubwa sana. Yaani mara mbili! Mmh! Mwambie aje jf wachumba tupo.
Mwambie anyoe kabisa zilozobaki.....Asante kwa ushauri. Tutakualika kwenye utambulisho. Sijui itakuwaje maana jamaa keshaanza kupata ule ugonjwa wa nywele nusu kichwa!
Kumbe Mo town....mwambie aje Soweto nimpe maujanja!!JF eeeeeeeeee. Kuna watu hawajui hata hii kitu inatumiwa vipi! Husninyo huyu binti ni mzuri bana! Yaani akipita hata wewe unageuka! Ametu-discourage sana. Jamaa yangu siku za karibuni La Liga alikuwa hakosi bana. Kisa mama anataka kwenda club. Ha ha haaaaaaaaaaa kweli kupenda!