regy201584
Member
- Mar 12, 2015
- 7
- 0
Wadau poleni na kazi na majukumu mbalimbali ya ujenzi wa taifa nilikuwa nataka kupima uwezo na weledi wao!
Je yupi katika viongozi hapo juu anafaa kuliongoza taifa la tanzania kulingana na hali ilivyo
A) YA KIUSALAMA; vituo kuvamia na matishio ya ugaidi na mambo yote ya kiusalama wa nchi
B) KIUCHUMI; thamani ya shillingi yetu kuporomoka
C) TATIZO LA AJIRA. Katika maeneo mengi nchini
D)UMASKINI ulio kisiri miongoni mwa watanzania
E) UFISADI NDANI YA SERIKALI
namengine mengi niliyo sahau wadau hebu tuchangie kwa tafakuri ya kina