Ni mgeni kwenye Jamii hii.

Ni mgeni kwenye Jamii hii.

JimmyJay

Member
Joined
May 11, 2017
Posts
18
Reaction score
11
Nashukuru kujiunga, nilitamani kwa muda mrefu sana. Now am in
 
ulitamani???!sasa ulizuiliwa na nan?!!!
lakn karbu,tuuzindue ubongo wako!!!
 
Makuku rey unanifanya nibatasamu bila uoga.. Wacha tumkaribishe kijana.
 
Karibu ila epuka matapeli. Wamejazana humu.
 
Kama ni mgeni,..ingeandika New member,...Wewe ni mwenyeji toka may 2017...sema tu bado una ushamba wa kutumia jf,..Ndio maana unaonekana mpya
 
Karibu sana ila humu si kama Facebook ukiwa humu chagua upande ccm au makamanda. Na uongo ni mwiko
 
Karibu. Sema jukwaa gani unapenda kutembelea. Wewe ccm au chadema. Simba au yanga?
 
Wewe ni Me au Ke maana akina Jimmy huwa hawaeleweki...!?
 
Back
Top Bottom