Magoa Member Joined Mar 20, 2013 Posts 28 Reaction score 5 Mar 21, 2013 #1 Mimi member mgeni kabisa nimeamua kujiunga na JF kwa sababu mbali mbali lengo ni kupata Habari na faraja kutoka kwa members wengine tafadhali ushilikiano wenu dhidi yangu unahitajika
Mimi member mgeni kabisa nimeamua kujiunga na JF kwa sababu mbali mbali lengo ni kupata Habari na faraja kutoka kwa members wengine tafadhali ushilikiano wenu dhidi yangu unahitajika
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,373 Mar 21, 2013 #2 Karibu sana
figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 28,202 Reaction score 64,650 Mar 21, 2013 #4 karibu sana mkuu. Mia
Magoa Member Joined Mar 20, 2013 Posts 28 Reaction score 5 Mar 22, 2013 Thread starter #5 Pamoja sana
S scart Senior Member Joined Jan 27, 2012 Posts 104 Reaction score 26 Mar 22, 2013 #6 kuna mitihani humu!!! watu wengne wanacomment mambo ya ajabu! uwe unapotezea tu smtms
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,371 Reaction score 111,682 Mar 22, 2013 #7 Karibu sana JF...
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,789 Mar 22, 2013 #8 Kalibu sana unakalibishwa, ushilikiano umepata.
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 2,001 Mar 22, 2013 #9 Karibu sana Magoa. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Arushaone Platinum Member Joined Mar 31, 2012 Posts 15,237 Reaction score 13,567 Mar 22, 2013 #10 Ushakaguliwa wewe?
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,551 Mar 22, 2013 #11 wewe ni ME au KE !?? Kwa hisani ya watu8 Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 2,001 Mar 22, 2013 #12 Baba V said: wewe ni ME au KE !?? Kwa hisani ya watu8 Click to expand... Ndiyo Magoa ni ME au KE,Lol! Invisible ana MASHUSHU!!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Baba V said: wewe ni ME au KE !?? Kwa hisani ya watu8 Click to expand... Ndiyo Magoa ni ME au KE,Lol! Invisible ana MASHUSHU!!!
Loy MX JF-Expert Member Joined Mar 26, 2012 Posts 1,253 Reaction score 313 Mar 22, 2013 #13 Umeingia chumbani moja kwa moja kwani hukuuona mlango umeandikwa UTAMBULISHO??
Yegoo JF-Expert Member Joined Nov 14, 2012 Posts 1,434 Reaction score 511 Mar 22, 2013 #14 Weye mgeni hadi kwa chumba unaingia!! KARIBU yawezeka hujakuta mtu sebuleni(utambulisho)
Passion Lady JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 8,694 Reaction score 4,646 Mar 22, 2013 #15 Arushaone said: Ushakaguliwa wewe? Click to expand... unapenda wenzio wakaguliwe loooolz!huyu nishamkagua mm kisirisiri!
Arushaone said: Ushakaguliwa wewe? Click to expand... unapenda wenzio wakaguliwe loooolz!huyu nishamkagua mm kisirisiri!