Ni member(s) gani wa JF ungependa kukutana naye

Za siku swalama kabisa Mtani. Umemisika tu.

Tuombe uzima najua kwenye ASFC fainali tutakutana Insha Allah.

Oooh. Halafu una bahati kweli yaani niliwatag watani zangu kibao halafu wewe nikakusahau. 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…