Ni mbinu au?

Ni mbinu au?

jlm

Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
29
Reaction score
18
Habari zenu..
Kuna tabia fulani ya baadhi ya wanaume huwa siielewi, unakuta mtu labda ndo mmefahamiana either kikazi au socially lakini anakuwa serious anapokuona hata kama alikuwa anaongea au anacheka basi akikuona anachuna..hata ukimsalimia kama hataki mazoea vile sasa unakuwa huelewi huyu mtu ananichukia au nimemfanya nini kibaya...siku ya siku anakuja kukutongoza,hapo ndo nachoka sasa ina maanisha nini?
 
huyo hana tu confidence anakulia bati apate pa kuanzia
 
sa unahangaika / anakuumiza kichwa kisa nini achana nae mtu wa hivyo
 
Habari zenu..
Kuna tabia fulani ya baadhi ya wanaume huwa siielewi, unakuta mtu labda ndo mmefahamiana either kikazi au socially lakini anakuwa serious anapokuona hata kama alikuwa anaongea au anacheka basi akikuona anachuna..hata ukimsalimia kama hataki mazoea vile sasa unakuwa huelewi huyu mtu ananichukia au nimemfanya nini kibaya...siku ya siku anakuja kukutongoza,hapo ndo nachoka sasa ina maanisha nini?

Hata mimi niko hivyo ila ni gia ya kuanza kuomba vituuuuz! Ukishanipa tuuu kicheko hata uwe unakuja sinuni.
 
hizo ni mbinu mbadala za kubanjua vimwana,

seriousness is needed, fanya mambo kama sio wewe vile!

utawala mpaka utasaza..
 
tabia au hulka usiifanye ndio tabia ya wote
 
hizo ni mbinu mbadala za kubanjua vimwana,

seriousness is needed, fanya mambo kama sio wewe vile!

utawala mpaka utasaza..

will try this! nitauchuna mpaka nipate kizunguzungu
 
Mnawindana sio?? Mapenzi ya kukimbizana ndo siyawezagi. Kama anakupenda angeropoka toka mwanzoni.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Back
Top Bottom