Ni mazoezi au adhabu?

kama ni kazi bora ife, baada ya hapo natoroka tu.
 
Hapo ni siku ya kwanza kabisa katika kufunzwa ukomando na hiyo hufanyika asubuhi.
 
Ukiwa hapo ukiulizwa nini maana ya maisha hakika hautakosa jibu..😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…