Kazwala mkuu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,034
- 2,249
Iwapo ni mazoezi basi sio mchezo, ndio maana hawacheki na kima.Ni mazoezi anafundishwa shida kabla ya shida zenyewe za huko mbeleni
Kama ni adhabu hapo lazima jamaa ashike adabu.adhabu
Ni kweli kabisa, ni Nchi nyingine.Sio wa Tanzania hao.
basi kama hiyo ni day one,by day 10 huyo jamaa atakuwa marehemu!Hayo ni mafunzo ya kikomando hatua ya awali kabisa(day one)
kumbe ndiyo kwanza ni hatua za awali!Hayo ni mafunzo ya kikomando hatua ya awali kabisa(day one)
hio ni day 1 ukifikisha mwezi kila kona ya mwili itakuwa ushavunjika vunjikaHayo ni mafunzo ya kikomando hatua ya awali kabisa(day one)