Tuiombee nchi yetu yasije fka huku(kama ya Misri).kwa maana ---------Katoa amri ya kupiga(ninavyo faham mm kupiga kama kupiga,hakuchagui kitu/silaha ya kupigia).Sasa mwananchi ukiandamana ukaonekana umebeba shoka,rungu,mawe,fimbo n.k basi ww ni halali kwao.Tuombee miaka miwili ijayo ipite kwa aman.Ijapokuwa matatizo ya hapa na pale hayataisha kamwe.Ewe unaependa kuanda mana pasipo kujua unahitaji nini/unaandama ili kutaka nini(pole sana maana kipigo utakacho kipata.ndg,jamaa au marafki ndoo watakuja kukuhudumia ukiwa tayari,umevunjwa mguu,mkono au umetenguliwa kiuno,tofaut na hao watakuja viongozi kutoa pesa ya ubani),laa sivyo basi kuwa makini sana ukiwa kundini.Watz wengi wanapenda kufuata mkumbo kwenye makundi .ukitaka kufahm hilo basi kaa uswahilini I'm sure ndani ya one month utapata majibu.MUNGU IBARIKI TANGANYIKA.