Bila shaka maswali ya mama haya. MillerKabila gani?
Anaishi wapi?
Haswaa....hapo ukiacha lile ambalo lazima nililitarajia tehBila shaka maswali ya mama haya. Miller


Wazee wengi kwenye kuoa maswali machache tu... ila mama atataka adadisi yoteHaswaa....hapo ukiacha lile ambalo lazima nililitarajia teh![]()
si anajua mke anatakiwa achukue nafasi ya mama sasa lazima ajue anakukabidhi kwa mama boraWazee wengi kwenye kuoa maswali machache tu... ila mama atataka adadisi yote
Ni kweli...si anajua mke anatakiwa achukue nafasi ya mama sasa lazima ajue anakukabidhi kwa mama bora
Ndio, ila wawe na sababu zinazoingia akilini sio wanakwambia vitu vingine hata ukivitafakari havileti maana.Ni kweli...
kuna wale kina mama wanakuambia ukileta mke ulete mke kweli
Mfano kuna wengine wanakuambia staki kabila hili.Ndio, ila wawe na sababu zinazoingia akilini sio wanakwambia vitu vingine hata ukivitafakari havileti maana.
Akiniambia sababu za kukataa nikiridhika nazo na nikiona zinaMake sense...sawa, wao wameishi miaka mingi wanajua mengi pia...Mfano kuna wengine wanakuambia staki kabila hili.
Utafanyaje akishkilia msimamo wake?
Hahaa... haya bhna.Akiniambia sababu za kukataa nikiridhika nazo na nikiona zinaMake sense...sawa, wao wameishi miaka mingi wanajua mengi pia...
Ila akisema tu hilo kabila halifai na hana sababu za msingi siwezi kumuelewa...atanisamehe tu
Wamama wengine sijui ni wivu wa kimama tu kazoea kukuona mtt wake ss ukimwambia habari za kuoa anahuzunika hahahaHahaa... haya bhna.



Hili nalo ni swali la msingiKuna ndugu yangu aliulizwa una kipato kingne nje ya mshahara wako