jaffari yogo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 685
- 148
Mwanaume kumpikia mke/ girlfriend wake chakula, kwako unaionaje?
A: Mme -----
B: Ndio upendo wa kweli
C: Limbwata linafanya kazi
D: Kusaidiana lazima
E: Mbwembwe tu
F...............?
A: Mme -----
B: Ndio upendo wa kweli
C: Limbwata linafanya kazi
D: Kusaidiana lazima
E: Mbwembwe tu
F...............?