Ni majina ya wanaJF gani huwa yanakufurahisha sana?

Last edited by a moderator:
BAGAH.....natamani nimwambie anibakshie walau robo ya baga yake cacico....yani sijuagi nilitamkeje afu kuna mtu nimem'mbandika hili jina ....usinidai fidia pleeeeeez
gfsowin.....mhhh najua mwenyewe nnavolitamka :nerd:
Paloma cacico anaiwa kasiko, halafu langu tamka gifsoniwini. pole. ila mzim weye?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hadi umefkia kulipenda jina langu lazima kuna wakati utakuwa una washwa washwa....... ha haaa just a joke!

ujue mkuu nimekukumbuka mana kuna siku umetupia post...watu wakakushambulia...mmoja akasema washwa washwa mpaka makalioni...nilicheka kama chizi.
 
Hv nyie mnayajua majina ya ajabu au mnatania?
Nendeni Jukwaa la Stress au MMU mkajionee ma-ID ya ajabu ajabu.
Kuna huyu, nn001,
Madame B, Kazi kwel kwel! nakwambia mie huwa najiuliza maswali sipati majibu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…