hlo halina mjadala coz is arleady dead body!
Mi sijawahi kufa kwa hiyo kwa upande wangu sijui!
Whatever the case, does not change anything
Unaitwa mwili uliosalia Au "Remaining body"
Maiti sio mzigo ni mwili wa mtu aliyekufa
ni muhimu kuwa na heshima kwa watu waliotutangulia...
Wao kufariki haimaanishi kuwashushia heshima hadi wageuke mizigo...
Kweli kabisa mkuu!,maana heshima na utu wa mwanadamu hautenganishwi na chochote.
Masalia ya mwili,, lkn huchajiwa Kama mizigo mingine ya kawaida
znz kupeleka maiti ni bure