Hawa jamaa sijui huwa wanatoa wapi habari zao, huyo magufuli ni wapi wanamzungumzia? nazani habari zao huwa vyanzo ni makada wa CCM na sidhani kama wana waandishi wa habari mikoani zaidi ya kuwategemea makada wa chama
ccm mnajidanganya sana makofuli hakubaliki kabisa .kila mahali ni lowasa lowasa lowasa .mamantilie lowasa,wanafunzi wa vyuo lowasa,walimu lowasa,bodaboda lowasa, ccm haikubaliki kabisaaaaaa
Naona Uhuru wameamua kuokoa jahazi. Hii ni baada ya mkulu mwenyewe kuonekana anaharibu hasa juzi aliposema Pombe huyu ni chaguo la Mungu. Watu walimshtua kuwa hapo atawakumbusha mbali watu kwani gia hiyohiyo ndio walitumia kwake, hivyo watu watasema kama ni chaguo la huyo mungu wenu ( mmoja ya miungu) hatumtaki.
ccm mnajidanganya sana makofuli hakubaliki kabisa .kila mahali ni lowasa lowasa lowasa .mamantilie lowasa,wanafunzi wa vyuo lowasa,walimu lowasa,bodaboda lowasa, ccm haikubaliki kabisaaaaaa
Ukawa walikua mstari wa mbele kuchukia mafisadi walipiga kelele na dunia yote ilisikia.kila mtu alilia juu ya hilo
Lkini imekuja kugundulika kuwa chadema na ukawa yote walichukia ufisadi kwa sababu walikua hawajapata nafasi ya kua mafisadi.
Sasa ni mafisadi hawana tena habari ysa kuwasema mafisadi bali wanataka kushirikiana nao na wanaona tena aibu kuwasema sababu watakua wanajivua nguo
UKAWA Tuwaogope
Tusiwape kura
Mbona tuna sahau kuwa chama kilicho madarakani ndio inabeba dhamana kubwa ya kupiga vita ufisadi.Kwa kuifanya chadema ndio mpinga ufisadi hivi hii ina maanisha tunaunga mkono ufisadi? .Ndani ya ccm ndio kuna viongozi wengi wanaofisadi nchi.issue ya ufisadi inapaswa kupigwa vita na kila mtu mzalendo wa nchi hii kwa maslahi mapana ya nchi.
Nchi hii ni kwetu leo na vizazi vijavyo tuilinde na kuitunza ili sote tuifurahie na si wachache wafurahi na wengi wakilalamika. Uzalendo kwanza vyama na ushabiki baadae
Huenda maccm, vichwani mwao wamewekewa program inayobadilisha jina ambalo yanalisikia au kulisoma kwenye vyombo vya habari makini . Nadhani kila penye jina "Lowasa" yenyewe yanasikia au kusoma "Magufuli"