Nenda kule Orkesumet (Simanjiro), Mkoa wa Manyara - utapata wateja wa kutosha wanaohitaji matrekta kwa ajili ya kilimo. Wenyeji wa kule wanapendelea sana trekta aina ya Swaraj. Nenda kule kafanye survey kwanza, hutojuta.
Nikupe tu ushauli bure. Kama kweli una trekta za maana, sehemu yoyote wanakolima mpunga, funga vitu vinaitwa cagewheel. Hutafuti wateja,wanakutafuta wenyewe