Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,539
- 10,007
Kwenye mambo ya Technology tuna safari ndefu sanaWanalogana ile mbaya mule muhimbili paskie tu maana hakuna hospitali watu wanapiga hela kama ile,Hayo mambo ya sarogeti yapo kenya kitambo sana halafu kenya ni hapo tu ndio ushangae halafu sisi ndio tuna maprofesor MD wengi na wakubwa kuliko kenya lakini wame tupiga bao kwenye mambo ya afya.
Hospotali ya kairuki mikocheni wanafanya hiyo kitu kipindi kirefu tu
Umeangalia ukaona kilichokuwa kinakwamisha ni umri na sio vifaa, vipaumbele? Kuna matibabu ambayo kila siku yanatuua mfano ya moyo, na hakukuwa na vifaa vya kujitibia sembuse mambo kama haya ambayo tunayaona ya nadra?Hivi kweli kwa muda huo wote Muhimbili walikuwa hawafanyi IVF na Surrogacy, kitu ambacho kimeshaanza tokea 80's huko?
Kwenye management ya hizi hospital zetu kuwe na vijana, kuna uwezekano hatufanyi medical procedure nyingi sababu kuna watu ambao ni ngumu kupokea mabadiliko, hasa hawa wazee.
Tanzania sisi tuna propaganda na siasa nyingi sana kuna huduma nyingi sana ambazo zilitakiwa zianze kutolewa nchini kwenye hospitality za serikali ila siasa za kutosikiliza wenye ujuzi ndyo imetufikisha apa mwenye ujuzi mawazo yake yanakataliwa na mwanasiasa mwenye elimu ya form fourHivi kweli kwa muda huo wote Muhimbili walikuwa hawafanyi IVF na Surrogacy, kitu ambacho kimeshaanza tokea 80's huko?
Kwenye management ya hizi hospital zetu kuwe na vijana, kuna uwezekano hatufanyi medical procedure nyingi sababu kuna watu ambao ni ngumu kupokea mabadiliko, hasa hawa wazee.
Kuna hospitali ndogo binafsi wanafanya IVF point ya vifaa sio relevent, Muhimbili hawakua na utayari na sio vifaaUmeangalia ukaona kilichokuwa kinakwamisha ni umri na sio vifaa, vipaumbele? Kuna matibabu ambayo kila siku yanatuua mfano ya moyo, na hakukuwa na vifaa vya kujitibia sembuse mambo kama haya ambayo tunayaona ya nadra?
Ndo hvo yaan hata mm nilishangaa sana kumbe MNH walikua hawafanyi IVF, mambo mengine uchz tuHivi kweli kwa muda huo wote Muhimbili walikuwa hawafanyi IVF na Surrogacy, kitu ambacho kimeshaanza tokea 80's huko?
Kwenye management ya hizi hospital zetu kuwe na vijana, kuna uwezekano hatufanyi medical procedure nyingi sababu kuna watu ambao ni ngumu kupokea mabadiliko, hasa hawa wazee.
Maprofesa wetu wanatumia sayansi ya asili na wanarogana!!!? Nimecheka sana aisee. Amakweli Waafrika itatuchukua muda sana kuendeleaWanalogana ile mbaya mule muhimbili paskie tu maana hakuna hospitali watu wanapiga hela kama ile,Hayo mambo ya sarogeti yapo kenya kitambo sana halafu kenya ni hapo tu ndio ushangae halafu sisi ndio tuna maprofesor MD wengi na wakubwa kuliko kenya lakini wame tupiga bao kwenye mambo ya afya.
Tatizo wale maprofessor wazee ni conservative ni watu ambao wana pinga technology adoptionNiliendaga muhimbili doctor,, akanimbia hio huduma hapa amna labda nje ya nchi na gharama n $40,000/= na mwaka huu tu mwanzoni.
Hahahaha, hizo huduma ziko nchiniNiliendaga muhimbili doctor,, akanimbia hio huduma hapa amna labda nje ya nchi na gharama n $40,000/= na mwaka huu tu mwanzoni.
Zen wanajiona ukishindikana pale we basi tena.Tatizo wale maprofessor wazee ni conservative ni watu ambao wana pinga technology adoption
Sio hao madoctor wenu wanaopima mikojo na tezi dume.Hahahaha, hizo huduma ziko nchini