Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,539
- 9,992
Hivi kweli kwa muda huo wote Muhimbili walikuwa hawafanyi IVF na Surrogacy, kitu ambacho kimeshaanza tokea 80's huko?
Kwenye management ya hizi hospital zetu kuwe na vijana, kuna uwezekano hatufanyi medical procedure nyingi sababu kuna watu ambao ni ngumu kupokea mabadiliko, hasa hawa wazee.