Pamputi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2016
- 982
- 724
Najaribu kuwaza tu akili zetu watanzania zinapatwaga na nini sometimes
Hivi kati ya cheti cha makonda na mapambano aliyoyaanzisha ni kipi chenye Tija kwa taifa??
Kwa sababu naona kwa makusudi kabisa tunatengeneza njia ya kuifanya vita ya dawa za kulevya iwe ni vita ya kuogopwa na kila MTU kwa kuaminishwa huu upuuzi tuliomezeshwa bila uthibitisho wowote dhidi ya huyu kijana aliye thubutu kuipigana.
Hivi ni wangapi wenye nyadhifa kubwa wengine wana hadi legal immune na wana vyeti vizuri vya kitaaluma wamewahi kosa uthubutu wa huyu bwana mdogo aliyethubutu walahi kutaja watu ambao n sisi watanzania kwa kipindi kirefu tumekuaga tukiwanyooshea mikono kupitia minong'ono yetu wenyewe?
Na hata baada ya makonda kutaja ile list ya kwanza sisi wenyewe tulipaza sauti kwamba anatakiwa ataje mapapa ambao ndo hawa Leo wametushikia akili na kumgeuka huyu ambae amethubutu?
Hivi watanzania n kwamba tumerogwaga au nibmakusudi tu?
HV ni vyeti ndo vinavyoweza kupambana na dawa au n utashi na uthubutu wa MTU binafsi na uthubutu?
Ni wangap wana vyeti lakini wamekosaga utashi na uthubutu wa makonda??
Watanzania tumefeli kwa kukubali kutumiwa na kundi dogo kupiga miruzi mingi ili kumpoteza mbwa na ndo maana Leo agenda ya madawa imezikwa na agenda ya vyeti kwa kuwa tumekubali kuvifuata vyeti na kuacha jamii yetu iteketee kwa dawa